Wakuu niaje
Maboss mnazingua uko na mke tena mkeo ni mzuri/mrembo huko makazini wana_mgombania kichizi halafu wewe unamtaka binti wako wa kazi kingono.
Acheni hizo mambo wazee.
Maboss mnakwama wapii?
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo).
Hivyo vitambi waachieni wake zenu.
Mazoezi kwa afya bora.
Hope all Jf members your are good.
One of the way we feel confident about life is knowning we have a direction. When we walk through life without goals and interest, we are like sheep wandering mindlessly.
We follow the path of others instead of our own path. Know that you are here in the...
Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.
Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk
Mimi nashangaa sana halafu unakuta...
Habarini wana_JF hope mko gud wote.
moja kwa moja niende kwenye mada je? uelewa wako na uwezo wa kujenga hoja ukoje hapa jamiiforum's na huko mtaani kwako wakati ukitaka kueleza kile kilichopo kichwani mwako?
Maana ukifanya analysis kidogo tu ndani ya jamiiforum's members wengi hawajui kujenga...
Hope mko gud wana-JF wote.
Kama heading inavyosema huu mwaka 2023 ni kama umekwisha maana imebakia mwezi mmoja kuingia 2024. Je, wewe ukijifanyia tathimini umefanya nini cha maana ambacho ukikitizama unajipongeza na kufurahi?
God1stFamily2nd.
Habarini wanajf I hope mko gud.
Hakika pesa ni sabuni ya roho inakufanya unafeel good sana.
Alafu ukiwa na pesa sura inatakata kama unaogea maziwa.
For me nikiwa na pesa tu always nakuwa na furaha na amani katika nafsi yangu maana naweza kufanya chochote kwa wakati wowote na mahali popote...
Good morning ladies and gentlemen of JF,
I'm going directly to the topic without wasting time.
As a human you need to recognize that life is constantly changing. your body, emotions, life's circumstances and situations are never static.
What happened yesterday is over.Today is a new day and...
Habarini wanajf i hope mko gud kabisa.
Moja kwa moja niende kwenye topic nyie wanawake inshort mnazingu unatongozwa unakubali unaanza kupewa fedha za matumizi..unatoa tunda mwanaume nanogewa naweka malengo at the end of day unaaza drama za kiseng**
kwani hamjui kukataa... kama humtaki mtu...
Jf a place were we dare to talk open.
Wakuu niaje I hope mko gud kabsa.
Leo ni wakumbushe wanawake ambao wakishaolewa na kuzaa wanajisahau hawajitunzi tena kama before kabla hawajaolewa.
Hamjizingatii kwanzia usafi wala uvaaji.
Mnajisahau sana mnabweteka hakuna manjonjo tena mnakuwa wa...
Habarini wanajf I hope mko good kabisa.
Niende kwenye key point direct bila kupoteza wakati hii issue ikoje watu mnaenda msibani kuzika then mnatoroka na kwenda kunywa pombe baa za jirani hatimaye mnalewa hovyo na kuonyesha picha mbaya kwa wafiwa.
Acheni hiyo tabia sio nzuri hata kidogo.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.