Search results

  1. Maya Angelou

    Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

    So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume. Nimekonda nimechakaa kiufupi...
  2. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  3. Maya Angelou

    Vitu vizuri unavyovikumbuka kwa mpenzi wako

    Being in love is the best feeling ever🥰 Kuna ki feeling flani kizuri sana ukipendwa unapo penda,najua wengi tumeshawahi pitia hii hali either kwa mahusiano ya zamani au tilionayo kwa sasa. Kuna wengine wanaamini hii hali huwa ni mwanzoni tu ila mkizoeana linaisha[emoji3]Kuna wengine huwa mambo...
  4. Maya Angelou

    Hii siku ya wapendanao nimepooza, nimekubali

    Siku imeisha kama hivyo muhusika mkuu kimyaa [emoji848],hivi kweli inawezekana kuna upendo kweli hapa[emoji1381]‍♀️design kama tunategeana nani amuanze mwengine sijui kwakweli sipati majibu Maisha hayako fair pembeni kuna watu watatu wamekazana na Mimi leo lakini hata siwa feel imebidi tu niwe...
  5. Maya Angelou

    Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information

    Kindly let me go straight to the point, Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information. I feel like nachunguzwa My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu kushika simu yangu anaweza kupata chat zangu za whatsap. Muhusika ni mtu wa IT Ameshawahi kuniambia...
  6. Maya Angelou

    Trapped to a married man

    Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi. Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway. Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka...
  7. Maya Angelou

    Wanaume naomba mnisaidie hapa

    Hivi inawezekana ukampenda mtu na usiwasiliane naye? Yaani ikapita siku tatu mpaka week? Inawezekana mwanamke unayempenda usitake kumjulia hali? Naombeni tu mnisaidie hili jibu Mtu anakwambia anakupenda ila ukijikausha usimtafute wewe anaweza asikutafute mpaka week anakucheki tena kuna ukweli...
  8. Maya Angelou

    INAUZWA Mzigo upo wa kutosha

    [
  9. Maya Angelou

    My better half could be here!!

    Hello wana Jf Mimi ni mgeni humu japo ni mwenyeji nimekuwa nikifatilia JamiiForums kwa muda ila leo nimejiunga rasmi haswa kwasababu ya post hii Kiufupi mimi ni mwanamke wa miaka 27 mkristu mrefu mweusi(maji ya kunde)elimu yangu ni level ya degree,sina mtoto ni mcheshi kiasi etc Age imefika...
Back
Top Bottom