Search results

  1. JZHOELO

    Milioni 3.5 natafuta vitz piston 4

    Husika na kichwa cha habari, nipo Mwanza tafuta Vitz bei mwisho 3.5, itapungua kutokana na hali yake, iwe piston 4 na haina madeni, muuzaji awe mmiliki, ukiwa nayo nipm au weka namba ya simu nitakupigia, biashara ni straight foward sitaki maneno mengi sitojibu mtu zaidi ya mwenye mali kwenye hii...
  2. JZHOELO

    Wapi ninaweza kupata maboksi ya pizza?

    Habari wanajamvi, Hapa karibuni nimefungua pizza and burger shop ila nimejikuta nakwama katika suala zima la packaging, hususani kwenye upande wa pizza. Maboksi niliyokuwa nayatumia awali niliagiza kutoka Arusha kuja Mwanza ila yalikuwa ni madogo na hayavutii. Na kwa hapa Mwanza kuna wahindi...
  3. JZHOELO

    Wapi naweza pata Rennet (kwa ajili ya cheese)

    Habari wanajamvi Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella).. Katika pita pita zangu naona nyingi zipo kweny masoko ya mtandaoni na ingawa ni rahisi kuagiza ila top up ya gharama ya usafirishaji na...
  4. JZHOELO

    Wapi Tanzania naweza kununua RENNET

    Habari wanajamvi Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella).. Katika pita pita zangu naona nyingi zipo kweny masoko ya mtandaoni na ingawa ni rahisi kuagiza ila top up ya gharama ya usafirishaji na...
  5. JZHOELO

    Nahitaji playstation 4 (ps4)

    Habari... Kwa yeyote anayeuza ps4 ambayo ni fully funcitonal naomba tuwasiliane.. Bei yangu ni laki 7 tu.(700k).... Najua iko chini ila kwa yeyote anayeuza kwa bei hiyo tafadhali tuwasiliane via whatsapp au simu no 0659086226 ...na 0714621992... Napatikana mwanza tz..
  6. JZHOELO

    Natafuta Playstation 4 (ps4) kwa bajeti ya laki 7

    Wakuu habari, Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna yeyote anayefahamu au anayejua nani au wapi nitapata ps4 kwa bei ya laki 7 tu.. (700k). Hata kama ina pad moja ila najua itakua katika hali nzuri maana zote hazijazeeka sana. Mwenye kuuza naomba tuwasiliane whatsapp no 0659086226.... Au...
  7. JZHOELO

    Cd za playstation 3 ni adimu Mwanza, Natafuta mtaalamu wa ku-downgrade

    Mwanza kuna uhaba mkubwa wa cd za playstation 3. na kudowngrade ps3 sio ngumu ila ni risky sana... nilikuwa naomba contact ya mtu yeyote anayeweza kudowngrade ps3 (MWANZA) na kumlipa.. ila nahitaji mtu anayejua anachofanya na sio kubahatisha ili akishindwa anicompasete mana ps itakufa kabisa...
  8. JZHOELO

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  9. JZHOELO

    News for gamers: Mortal kombat x inakuja soon

    kwa wale fans wa games, EA games pamoja na kampuni ya NetherRealm Studios wanatarajia kutoa game jipya katika series ya games za Mortal Kombat... tunajua mortal kombat 9 ilikuwa the best coz of the x-rya brutalities ila sasa mortal kombat inakuja na style nyingine tofauti na better kuliko ya...
  10. JZHOELO

    Nahitaji wireless ps game pads kwaajili ya Computer

    wakuu kwa mtu yeyote ambae ana wireless game pad za computer mpya tafadhali tuwasliane,nipo mwanza..
  11. JZHOELO

    Zipi ni Software bora za windows kwaajiri ya Video & Audio Production?

    Habari zenu ndugu zangu, kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta software ya windows platform ambayo ni rahis na inaweza kuedit na create movies au music videos, nimejaribu kutumia power director, vegas pro bila mafanikio mazuri kwani speed na kuna ugumu kiasi, kwa uchunguzi nikakumbana na final cut...
Back
Top Bottom