Search results

  1. SONDR

    Ushauri: Mwajiri anataka vyeti pamoja na leseni (original) ili anisajili kwenye kituo chake, hii ni sahihi? Nitaweza kuajiriwa serikalini?

    Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya. Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa kazi na muajiri wangu. Ila cha kushangaza muajiri wangu anataka nimpatie vyeti vyangu vya taaluma...
  2. SONDR

    Nafanyiwa figisu na wafanyabiashara wenzangu kwenye biashara yangu

    Habari Wana jamiiforum. Bila kuwachosha naenda kwenye mada moja kwa moja. Nimejikamua Kama kijana nimeamua kufungua liquor store yangu mkoani Tanga ambayo inafanyakazi masaa 24 kila siku za wiki. Sasa nauza vinywaji kwa bei ambayo Mimi napata faida Mfano:- Highlife -2000 Double kick -2000 Block...
  3. SONDR

    BABU WA MIAKA 103 AMENIBARIKI

    Habari za muda huu wanajamvi Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya. Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya. Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake...
  4. SONDR

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  5. SONDR

    Kanisa liruhusu ndoa za mke zaidi ya mmoja

    Wana jamiiforums kama makanisa yanaruhusu na kuunga mkono ndoa za jinsia moja Mfano wa makanisa hayo ni Angrikana, Roma, kanisa la mitute viongozi wake wametoka hadharani na kutangazia wafuasi wao kuwa makanisa hayo yana ungamkono ndoa za jinsia moja. Swali langu la msingi ndoa ya jinsia moja...
  6. SONDR

    What happened to Africa?

    What happened to Africa
  7. SONDR

    Niipi nafasi ya Dua na maombezi katika uponyaji wa maradhi ?

    Wanajamvi kuna hili swala la watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya namaanisha waogonjwa kupelekwa kusomewa Dua au kwenye maombi ili kutatua changamoto zao za kiafya. Swali ninalojiuliza moja kama kweli Dua na Maombezi vinaponya Maradhi kwanini wasoma Dua na waombeaji hawendi kwenye vituo...
  8. SONDR

    Nafasi ya mikopo 'kausha damu' katika ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja

    Mkopo unatokana na kitenzi kukopa, Kukopa ni umiliki wa pesa kutoka kwa Mtu binafsi au Shirika au Taasisi za kifedha kwa makubaliano ya kurejesha kiasi kilichokopwa. Mikopo kausha damu ni mikopo kutoka kwa Mtu binafsi au Shirika au Taasisi za kifedha yenye riba kubwa. Mikopo kausha damu...
  9. SONDR

    Natafuta kazi ya Clinical officer

    Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote. Kwamawasiliano na kupata CV yangu: kclafya@gmail.com
  10. SONDR

    Naomba mwenye uwelewa anieleweshe na anisaidia njia bora ya kupata wasambazaji

    Wakuu Mimi nimeanzisha kampuni iitwayo kwezitu ambayo inatengeneza chai ya karafuu yaani clove tea. Kampuni imekizi vigezo vyote vya kisheria na inaruhusiwa kuzalisha na kufanya biashara. Wakuu natafuta wasambazaji au makampuni ya masoko yaani marketing company ili nifanye nao mazungumzo ya...
Back
Top Bottom