SONDR
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 274
- 656
Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa kazi na muajiri wangu.
Ila cha kushangaza muajiri wangu anataka nimpatie vyeti vyangu vya taaluma pamoja na leseni hai hardcopy ili anisajiri kama mtumishi wa kituo chake je, hii nisahihi?
Lakini wasiwasi wangu nikishasajiliwa kwenye mfumo kama mtumishi wakituo x je nitaweza kuajiliwa na serikali?
Wakuu naombeni ushauri wenu kijana mwenzenu nipo njia panda.