Search results

  1. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo. Natanguliza shukrani 🙏🙏
  2. Bulaya001

    Girlfriend wangu ananichukia kisa hiki

    Natumai mko poa, Nina girlfriend wangu tuliedumu kwa takribani miaka miwili sasa ila ktk hali nisiotarajia baada ya kushika ujauzito wenye kama mwezi na sehemu sasa, kaanza kunichukia bila sababu. Mwanzoni nilichukulia normal issue kwa kuzingua kunipa mapenzi ila jana ktk hali nisiotarajia...
  3. Bulaya001

    Msaada: Mdogo wangu aliye kidato cha nne ana ujauzito

    Salute comrades, Husika na kichwa cha habari hapo juu, nina dada yangu kipenzi anayetarajia kumaliza kidato cha nne mwaka huu. Ila ktk hali isiyo ya kawaida mwili wake ilianza kupata mabadiliko na kuonekana mchovu wa mwili, jambo lililopelekea hata mahudhurio yake shuleni siku za hivi karibuni...
  4. Bulaya001

    unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

    salute comrades [emoji1536], kama mada tajwa hapo juu baadhi ya watu wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya watu walio na dread kichwani au marasta kwa lugha nyingine…vijana wengi now days wameifanya hali hii kama lifestyle. kwa mtizamo wako aina hii ya hairstyle unaichukulia vp hasa ukionana ama...
  5. Bulaya001

    Msaada kwa mwenye uelewa kuhusu jambo anisaidie

    Salute all comrades[emoji113] Usiku wa kuamkia leo ktk hali isiyokuwa ya kawaida nilikuwa naugulia maumivu ya kikohozi kikavu(ninacho takribani siku ya nne kufikia leo) tena jana kilikuwa ni kikohozi kweli kweli, kiliambatana na Mafua yaliyovuja mithiri ya chemchem ya mto Nile (joke). sasa basi...
  6. Bulaya001

    Bwana harusi nchini China, amdhalilisha mkewe kwa video chafu ya ngono

    Salute, Ni video chafu ya ngono ambayo bwana harusi kutoka Fujian China aliamua kuiplay Ukumbini ili kumdharirisha mkewe huyo mpya siku ya ndoa yao, ambapo ilimuonyesha bibi harusi huyo akimsaliti kwa mwanaume mwingine. Kulikuwa na video tatu, moja iliwaonyesha maharusi hao wakitembea tu...
  7. Bulaya001

    Shabiki wa Diamond amvamia Alikiba na kumpatia penseli yake

    Natumai mu wazaima wa Afya.. Hili ni tukio lilitokea leo katika mkutano wa alikiba aliokuwa akiongea na waandishi wa habari, Kama umekuwa ukifuatilia katika mitandao ya kijamii, kijana huyu ame- trend siku za hivi karibuni baada ya kukumbatiwa na diamondplatnuz siku ya tamasha la jama festival...
  8. Bulaya001

    Tuliowahi kufumaniwa bafuni/chooni tukutane hapa

    Natumai ni wazima kama nilivyo. Moja kwa moja pasipo kupepesa macho najitosa kwenye mada yangu. Wakuru hakuna kitu kinatia haibu/fedheha kama kufumaniwa ukiwa unashusha mzigo au upo bafuni unaoga tena ukute aliekufumania ni mtu mnaeheshimiana naye mno hasa hasa baba/mama mkwe, baba/mama mzazi...
  9. Bulaya001

    Majina ya kizungu yaliyobadilika na kuwa ya kibantu..

    Wakuu, hii imezoeleka huku kwetu yaani ukisikia mtu anaitwa haya majina basi moja kwa moja utajua ni msukuma japo ni majina ya kizungu:- Charles Laurensia Metusela Emanul John Peter Abdalah Rahel Mariam Michael God Paul Samson n.k.. n.k #sijui ni kwa nini imezoeleka hivi, ama saizi hakuna...
  10. Bulaya001

    Je, wazijua tabia za wanawake wanaopenda sana pesa?

    [emoji117]1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa shule wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu...
  11. Bulaya001

    Dudu baya anazidi kufilisika kiakili

    Huyu mtu nashindwa kuelewa anakoelekea ni wapi sijui, maana kadiri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mtu asiye na busara hata kidogo, sijui ni mapombe ama bhange ndio zinamfanya kuwa hivi maana kutwa kupost clips IG za kipuuzi tu[emoji848] Hivi kweli kawa nani mpaka anafikia hatua ya...
  12. Bulaya001

    Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

    wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila baada ya udadisi wa karibu unakuja kugundua kumbe ni mtu wa kawaida tu, Naitaji kufahamu aina ya...
  13. Bulaya001

    "MAALUMU KWA WALE WANAOGOPA PAKA USIKU"

    Kipindi Cha , karne ya 14, barani Ulaya, walikuwa wanauwa paka baaada ya kuwahusisha na uchawi. Baada ya kuuliwa paka wengi, ulitokea mlipuko wa Gonjwa la TAUN/PLAGUE, ambao unasababishwa na panya baada ya panya hao kuzaliana kwa wingi. Inakadiliwa zaidi ya watu milioni 75, walikufa katika...
  14. Bulaya001

    Jamani wanaJF me naomba tuanzishe mpango mmoja huu

    MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Bulaya001

    Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

    mwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!
  16. Bulaya001

    Hii tabia ya NIDA siiekwi mimi

    Unaambiwa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Kupata Namba ya Kitambulisho chako Piga *152*00# chagua3, chagua2, ingiza majina matatu, namba ya simu uliyojaza kwenye fomu, Bonyeza Kubali. Vinginevyo fika NIDA gharama za kuangalia namba za kitambulisho chako ni Tsh100. unapiga arafu...
  17. Bulaya001

    Daaah... yaaan!

    TAIFA STARS YAPOKONYWA USHINDI DHIDI YA UGANDA NA KUKOSA NAFASI YA AFCON CAIRO MISRI Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepokonywa ushindi dhidi ya Uganda katika mechi yao ya mwisho ya kufuzu Mataifa ya Afrika baada ya kugundulika hujuma katika mechi hiyo. Habari nyeti...
  18. Bulaya001

    Taifa na promo zisizo na maana, tunaekekea wapi?

    TANZANIA NA PROMO ZISIZOKUWA NA MAANA. Wakati Wiki iliyopita Rais wa Ufaransa akiwa Kenya wakenya walijitahidi sana kuhakikisha kuwa amepanda Gari lililoundwa nchini Kenya na waliipa promo sana Issue ile. Hii kwao ni faida kubwa sana, mitandao ya Kenya ilichafuka kwa picha za Emmanuel Macron...
  19. Bulaya001

    TAFAKURI..

    Michael Jackson alikuwa ni binadamu mwenye ndoto nyingi lakini Ndoto zake 2 kuu maishani zilikuwa ni:- *1.* Kwanza ni kuwa mwanamziki mkubwa zaidi duniani wa Pop. *2.* Kuishi miaka 150. [emoji457] Baada ya kuifanikisha ndoto yake ya kwanza kwa ufanisi mkubwa aliamua kuanza kuwekeza kwenye...
  20. Bulaya001

    "special kwa wadada"

    Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena...
Back
Top Bottom