Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,868
6,480
Salamu wakuu,

Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo.

Natanguliza shukrani 🙏🙏
 
Screenshot_20240416-162725_Chrome.jpg
 
Salamu wakuu,

Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo.

Natanguliza shukrani 🙏🙏
Kwa maana nyingine, ni kuwa unatafuta shule au chuo Cha wagonjwa wa akili.
 
Nataka

roman cathoric kabla haujawa cardinal wa kanisa lazima usomee elimu hii, so nataka pia vijana wangu wakajifunze huko kuhusu elimu hii Kisha watachagua kuwa na Dini fulani litakuwa jukumu lao…
Kwani hiyo ni imani mbona wanasema atheist sio imani

Back
Top Bottom