Salamu wakuu,
Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo.
Natanguliza shukrani 🙏🙏
jamani kwa hiyo taifa kuwa nyonge kwa kutokumwaga damu za mataifa mengine ni jambo la kushangaza, ifike hatua binadamu tuwe na roho za utu na sio kuchekelea umwagaji damu
Natumai mko poa,
Nina girlfriend wangu tuliedumu kwa takribani miaka miwili sasa ila ktk hali nisiotarajia baada ya kushika ujauzito wenye kama mwezi na sehemu sasa, kaanza kunichukia bila sababu.
Mwanzoni nilichukulia normal issue kwa kuzingua kunipa mapenzi ila jana ktk hali nisiotarajia...
hii nchi sijui tuna shida gani, yule jamaa alietusaidia wa bongo wengi namana ya kujaza DV lottery juzi kakamatwa kigoma…ma police wanamzushia kuwa ana warubuni watu waikane bongo na kuwa wamarekani[emoji51][emoji51]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.