Search results

  1. INSIDER MAN

    Tofauti ya Tanzania na Afrika Kusini

    Baada ya kwenda South kwa nyakati mbili tofauti na kutembea maeneo mbalimbali tofaut, kwa ufupi nimezurura na maeneo mengi nayajua vizuri. Kuna vitu vingi sana sisi Watanzania tuna tofautiana na Wasouth, nitaandika baadhi ya hizi tofauti: 1. Ushirikiano na Umoja Wenzetu Wasouth wana umoja...
  2. INSIDER MAN

    Wapi wanauza Spares original za Mercedes?

    Ndugu habari zenu, Kwa wale mnaotumia Marcedes Benz mnanunulia spares wapi? Kwa hapa mjini Dar. Naombeni msaada kwa duka ambalo nitaweza kupata spares OG zenye ubora nahitaji kufanya service ya miguu nknk.
  3. INSIDER MAN

    AC ya gari yangu inakuja na kukata

    Wakuu habari zenu. Gari yangu ni Premio ila kuna shida naiona kwenye AC. Kuna muda AC inakuja kuna muda inakata. Shida itakuwa ni nini?
  4. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na tuwapendao na mauzauza mengi sana. Nakumbuka mzee mmoja alinambia mapambano ya kupata maisha mazuri...
  5. INSIDER MAN

    Serikali wafikirieni na vijana waliokuwa wanajitolea TRA

    Habari ndugu. Naomba niende direct, kuna jambo huwa sielewi kitendo cha Mamlaka kuwafundisha vijana kazi (INTERNSHIP) kwa miaka 2 afu kuwabwaga na kuwaacha, hapa TRA sijui waliwaza nini. Hili ni bomu ambalo likija kulipuka litaleta shida kwenye Tax compliance hasa vishoka nknk. Mwaka 2019...
  6. INSIDER MAN

    Karibu tukuandalie Hesabu za Biashara yako “Financial Statements” kwa bei nafuu

    Ndugu zangu habari zenu. Tunakwenda kwenye kipindi cha kuwasilisha Hesabu za kampuni, Taasisi na watu binafsi ( Financial Statements and Accounts). Due date ni tarehe 30.06.2023, na penati zake kwa kuchelewa kuwasilisha hesabu hizo ni 75,000 kwa mtu binafsi (Individuals) na 225,000 kwa Kampuni...
  7. INSIDER MAN

    TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
  8. INSIDER MAN

    Tunatoa huduma za Kusajili majina ya biashara (Business names) pamoja na Kampuni (BRELA)

    Ndugu habari zenu. tumeamua kuwasaidia watanzania hasa kwa wale wafanyabiashara wakubwa, wadogo pamoja na wajasiriamali. Kumekuwa na malamiko mengi sana kwa Watanzania kuhusu makadirio ya kodi, usajili wa Majina ya biashara (Business names) na Kampuni. Sisi tunatoa huduma zifuatazo 1...
  9. INSIDER MAN

    Kongamano la mafanikio ya miaka 2 ya Samia linasaidia nini kama Taifa?

    Habari zenu. Leo nimesema niangalie zangu taarifa za habr nakutana na kongamano la mafanikio ya miaka 2 ya Samia. Sasa nabaki najiuliza mafanikio kama yapi, na hili kongamano linafaida gani?. Mbona miaka ya nyuma hakukuwa na hii program?? Tunachezea pesa za wananchi tu, kama taifa tuna safari...
  10. INSIDER MAN

    Uganda, Rais Museveni amepitisha sheria ya kuzuia LGBTQ

    Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ. Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye.
  11. INSIDER MAN

    Oil ya Toyota Axio

    Ndugu zangu habari, naomba kujua recommended oil nzuri kwa Toyota Axio “saloon”. Wataalamu naombeni msaada wenu nisije mix mafaili.
  12. INSIDER MAN

    TRA, kwanini ni wagumu sana kuwatoa Walipakodi kwenye VAT & E-filling?

    Leo nitabase na walipakodi binafsi/ Individual taxpayers (Presumptive ). Kuna jambo ambalo nafikiri ni kilio kwa wengi ila wanakosa mahali pakusemea. Ukweli hili jambo TRA mliangalie ni namna gani mtaweza kulitatua. Mlipakodi akifikisha mauzo ya milion 100 mnamsajili na VAT na pia mnamwambia...
  13. INSIDER MAN

    Beer [emoji481] inaweza kukusaidia kwenye Oral interview??

    Kuna mtu alishawai kuniambia kwamba kama wewe unaona confidence yako ni ya mashaka sana kwenye oral interview bhasi kunywa bia/beer moja au 2 afu ingia kwenye oral the rest will be historia. Akanambia hata kama ngeli yako ni yakuunga unga lazima utusue kwanza utakua unajiamini sana. Anasema...
  14. INSIDER MAN

    Biden awapongeza wanajeshi kwa kufanikiwa kulitungua Balloon la China

    President Joe Biden on Saturday congratulated fighter pilots for taking down a Chinese spy balloon off the east coast after it spent several days flying over the United States. "They successfully took it down. And I want to compliment our aviators who did it," Biden told reporters in Maryland. AFP
  15. INSIDER MAN

    EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

    Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema. Kwani Hando...
  16. INSIDER MAN

    Hakuna Mtanzania atakayedai risiti kwa bei hizi, hata wewe ungeweza?

    Serikali inabidi ikae chini na kulijadili suala la ulipaji kodi kwa kina zaidi maana kama TRA wamefeli kwa upande wao. Unakwenda dukani Kariakoo wengi ndo tunanunua bidhaa zetu kule mfano unanunua fridge au Smart tv muuzaji atakwambia bei ni TZS 870,000 bila risiti ni 820,000 unafikiri...
  17. INSIDER MAN

    Communication officers wa Simba na Yanga wanastahili kuchapwa viboko

    Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.
  18. INSIDER MAN

    Msaada juu ya kuletewa kreti za bia na soda

    Habari za jion wana jeifu. Ndugu zangu nimeamua nimfungulie mama watoto biashara ili asikae home kizembezembe nae ajifunze kutafuta hela. Biashara ni kuuza vinywaji kwa jumla kama bia, soda, juice, maji nk. Bia tumetarget za local na baadhi za imported kama heineken, savanna nk. Kadri biashara...
  19. INSIDER MAN

    Wanaume hii bajeti inapita?

    Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd Usafiri weka 30k Dinna weka 40k Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali...
  20. INSIDER MAN

    Msaada PC yangu haitaki kuwaka, imestuck

    Wakuu salama? Jana usiku nilikua natumia pc kwenye xcell sasa nikaifunga bila kuizima kwa muda ndo jadi yangu. Baada ya dk20 nikaifungua niendelee nakazi nikakuta imestuck, ikabd niiforce kuizima matokeo yake ndo kama haya. Sahvi ndo inaandika diagnosing your pc ni kama saa tayar...
Back
Top Bottom