Search results

  1. W

    Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amwagiza Afisa Madini Mkoa wa Tabora kuanzisha Kituo cha Ununuzi wa Madini

    Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...
  2. W

    Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao katika kaya mbalimbali vinavyoathiri biashara na kufilisi mali za wakaazi wa mkoani humo. "Wananchi wanaishi kwa hofu, wafanyabiashara wanafilisiwa mali zao...
  3. W

    Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

    Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari. Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
  4. W

    Kenya 2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    vipi kuhusu uchaguzi wao wa kikabila pia tuuige?
  5. W

    Kenya 2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Habari za weeknd wakuu..! Kwa wale tunaoendelea kufuatilia uchaguzi wa majirani zetu naomba nitangulize pole zangu za dhati kwa wote kutokana na kile kinachoendelea. Baadhi yetu tuliposema kwamba Tume ya uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) inajiandalia bomu yenyewe kwa kuruhusu media kurusha...
  6. W

    Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    wasiwasi ni kwamba media zinajengea watu kuamini juu ya jambo...sasa ikiwa vinginevyo itakuwa changamoto.
  7. W

    Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    concern yangu ni kwamba team ya odinga na team Ruto wanajengewe mazingira na media kwmaba kila mtu anashinda. sasa matokeo ya IEBC ambayo ni final.
  8. W

    Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    usichokijua ni kwamba IEBC imesema hayo matokeo yanayojumlishwa hawahusiki nayo. Sasa tusubiri mkeka wa Tume
  9. W

    Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  10. W

    Sijawahi ona watu wachache kama ziara ya Rais Samia Mkoani Mbeya

    Mtoa mada hana ushahidi kwa hoja aliyoitoa hapo juu kwamba ziara za Rais hazina watu, ametumia ushahidi hafifu kwa kuzingatia kuwa linki aliyoweka inazungumzia uwekaji jiwe la msingi katika Ofisi ya Mkuuu wa Mkoa wa Mbeya na sio mkutano na wananchi, lilikuwa ni jambo maalum tu kwa viongozi...
  11. W

    Wakili Mkuu Gabriel Malata wa Serikali amjibu Prof. Issa Shivji - Ardhi ya Umma

    Rais Ndiye Mkuu wa nchi, Nchi ni Ardhi na vitu vyote vilivyomo, Hakuna nchi ambayo haina Ardhi. Ibara ya 1 inazungumzia Tanzania ni nchi ya Jamhuri ya muungano, Ibara ya Pili inaelezea Eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rasilimali na Mali asili zote zimewekwa chini ya Mkuu wa Nchi. Ardhi...
  12. W

    Mbowe kukutana na Rais Samia Ikulu tarehe 11 & 12 June 2022

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amekuwa akifanya mawasiliano na Ikulu sio mara moja wala mbili na hataki kuwa msiri kwa msababu anampango wa kukutana na Rais Ikulu tarehe 11 na 12 Juni 2022. Ameomba wanachama wa CHADEMA wawe watulivu kwani watawajukishwa matokeo ya vikao hivyo...
Back
Top Bottom