Search results

  1. Etwege

    Waziri Doto Biteko: Kuadimika kwa mafuta ilikuwa ni dili, tumewadhibiti

    Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo vya mafuta kote nchini, hali hiyo ilikuwa inatokea kila unapofika muda wa kutangaza bei mpya...
  2. Etwege

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo. Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6...
  3. Etwege

    TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato, CHADEMA wapinga

    Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo zikiwemo za Burigi-Chato na ile ya Kisiwa cha Rubondo. Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota...
  4. Etwege

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu yoyote anayetukana au kukebehi legacy ya Magufuli kwenye nchi hii, badala yake watauachia muda ujibu...
  5. Etwege

    Waziri Mchengerwa: UVCCM 'msiwaache salama' wanaokuja kueneza uchochezi Rufiji

    Waziri wa Tamisemi ametoa onyo kali kwa wote wanaoenda kuangalia mafuriko Rufiji bila misaada yoyote waliyobeba na kuishia kueneza chuki na upotoshaji mkubwa eti kwamba mafuriko hayo yamesababishwa na ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere wakati ukweli ni kwamba hata lisingekuwepo...
  6. Etwege

    Ni nani huwa anawanywesha sumu 'wapigania haki' ndani ya CCM?

    "Unaweza kumuuwa mwana mapinduzi lakini huwezi kuziua fikra za kimapinduzi," Thomas Sankara. Paul Makonda ametangaza kutaka kuuawa mara tatu kwenye ziara zake kama katibu mwenezi wa ccm! 2020 mwezi march aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Phillip Mangula aliekewa SUMU kwenye kikao...
  7. Etwege

    Aliyeweza kuimudu Tanzania ni Hayati Magufuli tu? Mbona tunakwama sana?

    Kwa sasa nchi yetu ina watu zaidi ya millioni 61 lakini huwezi kuamini mambo yanavyoenda mrama kila kukicha tangu tuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli. 1. Bwawa la mwl Nyerere mpaka sasa limefungwa mashine moja tu ya kuzalisha umeme badala ya mashine 9 ambazo zilitakiwa...
  8. Etwege

    Rais Samia umeanza kunikosha, bado Sabaya tu

    Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi. Sasa umebakiza kumrudisha ulingoni kijana Lengai Ole Sabaya na moyo wangu utakuwa umeukuna moja kwa moja kabisa Rais Samia. Paul Makonda, Ally...
  9. Etwege

    Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

    Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi. Wananchi wa jiji la Arusha kwenye mitaa mbalimbali wanasema watajipanga kumpokea Makonda kuanzia Airport ili kutuma ujumbe usio tia...
  10. Etwege

    Wanyonge tuko pamoja na Makonda popote alipo

    Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema. Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya kisha kwenda Canada alikoficha familia yake. Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona...
  11. Etwege

    Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

    Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema. Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake. Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona...
  12. Etwege

    Moshi: Ulevi umekithiri, vijana washindwa kuwapa mimba wenza wao

    Mkuu wa wilaya ya Moshi, Zephania Sumaye amesema atatangaza operesheni maalumu ya siku 21 kupambana na unywaji wa pombe ovyo uliopelekea vijana wengi waliofikia umri wa kuoa kushindwa kuoa na hata walioa kushindwa kuwapa mimba wake zao maana hawajiwezi kabisa kitandani kutokana na ulevi...
  13. Etwege

    Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

    Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au mtawapongeza Kinana na January Makamba kwamba matamko yao yamesababisha uchaguzi umekuwa wa huru na...
  14. Etwege

    Waziri Mchengerwa: Nilipewa bajeti ya dola laki 5 ili kununua basi moja la mwendokasi

    Waziri wa Tamisemi Mh Mchengerwa amesema alishangazwa baada ya kuletewa bajeti ya manunuzi ya dola laki 5 kwa basi moja la mwendokasi. Mchengerwa aliifutilia mbali hiyo bajeti baada ya kubaini ni sawa na kununua behewa la treni. My take: Hawa wapigaji mbona hawachukuliwi hatua? Rais Samia pia...
  15. Etwege

    Miaka mitatu ya Rais Samia hamna hata flyover moja?

    Ilani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi? Basi kama lengo la Rais Samia ni kuendeleza tu mazuri ya awamu ya tano basi kulikuwa hamna haja ya...
  16. Etwege

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame. Mungu...
  17. Etwege

    Ili kudumisha uzalendo, Hawa hapa wasiungwe na umeme kutoka bwawa la Mwl Nyerere

    Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna Watu Watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame...
  18. Etwege

    Mapdri Mwanza watangaza siku ya kufanya maazimisho ya kumkumbuka Magufuli

    Mapdri jijini Mwanza kwa umoja wao wametangaza kuwa tarehe 23/3/2024 kwenye viwanja vya kawekamo litafanyika azimisho kubwa la kumkumbuka aliyekuwa rais wa awamu ya tano ya nchi yetu, Hayati Magufuli kwani aliifanyia makubwa nchi yetu ikiwemo kuivusha kwenye kipindi cha Corona na nchi kuingia...
  19. Etwege

    Kumbukizi: William Lukuvi akitetea ujenzi wa bwawa la umeme na kupingwa na Zitto Kabwe

    Video hii inaonyesha namna aliyekuwa waziri wa aridhi wa awamu ya tano Mh William Lukuvi akielezea umuhimu wa nchi ya Tanzania kujenga bwawa la umeme ikibidi kwa fedha zetu wenyewe baada ya wafadhili kugoma kutoa misaada wala kukopesha. Hata hivyo hoja hiyo ilipingwa na aliyekuwa mbunge wa...
  20. Etwege

    Hoteli ya bilionea Mrema yapigwa mnada, sasa kuvunjwa

    Hoteli maarufu ya Impala ya jijini Arusha iliyokuwa inamilikiwa na marehemu billionea Mrema na baadae kuuzwa kutokana na madeni iliyokuwa nayo, hatimae vitu vyake vimepigwa mnada na vitakapoisha itavunjwa na kujengwa hoteli nyingine mpya ya kisasa zaidi...
Back
Top Bottom