Wanyonge tuko pamoja na Makonda popote alipo

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,844
15,361
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.

Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.

Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.

Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.

Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
 
Kwahiyo unaona hao uliowataja niwanyonge wenzako. Fanya kazi kwa bidii mkuu hao sio wanyonge. Acha kujifariji
 
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.

Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.

Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.

Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.

Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Kwani Shabaya ana cheo kisichojulikana huko Arusha mnakohamia wanyonge?
 
Back
Top Bottom