Search results

  1. CORAL

    Opera wameweka "Aria browser AI bot" kwenye opera browser kwa ajili ya chatting

    Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa. Sijui kama ina uwezo kama ChatGPT labda muda utasema. Download update toka playstore halafu ukifungua...
  2. CORAL

    Sony na teknolojia ya S-Force Front Surround, Sound Pressure Horn

    Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa sinema bali sasa surround sound technology kujumlisha na video za 3D imewezesha mtu ‘kupelekwa kwenye...
  3. CORAL

    Mbwa azikwa kwa heshima zote za serikali nchini India

    Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi. Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu. Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
  4. CORAL

    Mke ashirikiana na michepuko 4 ya mumewe kumuandalia "surprise" mume, adondoka na kuzimia siku ya Valentine

    Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe. Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya...
  5. CORAL

    Nafanyaje manunuzi kwa credit/debit card?

    Nataka kufanya in app purchases kwenye game moja. Lakini nikitaka kufanya manunuzi naletewa sanduku nitype namba ya credit au debit card. Hakuna njia mbadala ya kununua app au features fulani? Hizo credit/debit card ndio napataje?
  6. CORAL

    Jamaa "aokota" mwanamke ombaomba mtaani, amuogesha, atangaza ndoa

    Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana. Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha...
  7. CORAL

    Changamoto ya mikopo ya HELSB

    Ndugu walimu wenzangu na wanufaika wote waliosomeshwa kwa fedha ya serikali yaani BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB). Juzi Jumatatu tarehe 28.12.2020 niliomba LOAN STATEMENT ya deni langu kutoka Bodi ya mikopo ili niweze kuclear deni baki ambalo kwa mujibu wa SALARY SLIP yangu ya 31.12.2020...
  8. CORAL

    Tembo asaka tiba baada ya kupigwa risasi na majangili

    Tembo mmoja huko Zimbabwe ameacha watu midomo wazi baada ya kutafuta madaktari wa wanyama pori wamtibu kufuatia jeraha alilopata kichwani kwa kupigwa risasi na majangili. Majangili walimpiga risasi tembo huyo wakitaka kumuua ili wang'oe meno yake wakauze. Lakini tembo huyo alinusurika na...
  9. CORAL

    Binti wa miaka 12 aokolewa na Simba baada ya kutekwa kwa lengo la kuozwa kinguvu nchini Ethiopia

    Wanaume wapatao 7 walivamia nyumba moja katika kijiji kimoja nchini Ethiopia na kumkwapua binti wa miaka 12 ambapo mmoja wa watekaji alitaka kumuoa bila ridhaa yake wala kibali cha wazazi wake. Walipokuwa njiani wanaenda naye kwao huku wakimburuza kwa nguvu na kumpiga huku akilia walikutana na...
  10. CORAL

    Nini maana ya PMPO na RMS kwenye audio system?

    Unapoenda kununua mfumo wa muziki au system ya mziki dukani au unapoangalia kwenye Internet kuhusu audio system utakuta kwenye specifications upande wa power output ya spika wamekuwekea 1000w RMS na labda 1600w PMPO kwenye maelezo ya hiyo system. Au utakuta 1500w RMS na 3500w PMPO. Dukani...
  11. CORAL

    Wenzi wa ndoa wajinyonga mara tu baada ya ya harusi. Pana funzo hapa

    Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya. Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
  12. CORAL

    Naomba Mamlaka ya Maji Safi na Taka Mbeya ifutwe, wanalipwa mishahara bila kazi

    Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi. Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
  13. CORAL

    Mwanaume afoji kifo cha mkewe ili aweze kuoa mchepuko wake

    Daktari mmoja huko Kenya ametoa mpya kwenye uchepukaji wake kwa kufoji cheti cha kifo cha mkewe ili awe huru kuoa mchepuko wake. Yaani huyo daktari ana mke ambaye ni nesi na watoto wanne. Mwaka uliopita mke wake alimbamba akiwasiliana kwameseji na mchepuko akaanzisha timbwili lakini mme...
  14. CORAL

    Ashindwa kubaka kwa sababu dushe lagoma kutoa ushirikiano!

    Mwanamke mmoja nchini Zimbabwe alipona kubakwa baada ya mbakaji kushindwa kumuingilia. Dada huyo alipewa lifti na jamaa mmoja mjini Bulawayo akiahidi kumfikisha mahali alipokuwa anaenda. Lakini wakiwa njiani mwanaume huyo alisimamisha gari akatoa kisu na kumwamuru huyo abiria wake akabidhi simu...
  15. CORAL

    Huu ubabe wa playstore unanikera sana

    Unakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha. Umedisable autoupdate kwenye settings lakini lenyewe linakiuka matakwa yako. Halafu halimalizi...
  16. CORAL

    Mfanyabiashara nchini Zambia amkodi mlinzi wake ampe mimba mkewe

    Baada ya miaka karibu 8 bila mtoto mfanyabiashara mmoja nchini Zambia aliamua kufanya maamuzi magumu. Ilikuwa mwaka 2014 ndipo mfanyabiashara huyo akakubaliana na mkewe kuwa mlinzi wao wa getini alale na mkewe ili ampe mimba! Basi wazo likauzwa kwa mlinzi ambapo alilipwa kwacha 6000 ili...
  17. CORAL

    Tabia ya wanaume kutuma rafiki zao watongoze wachumba wao ili kupima uaminifu wao yamtokea puani mwanaume mmoja huko Zambia

    Mwanaume mmoja huko Zambia alikuwa na mchumba wake ambaye ni nesi na yeye ni mwalimu. Ndoa ilikuwa ni mwezi machi mwaka huu. Sasa wakati wa uchumba akaanza kutuma rafiki zake eti wamtongoze ili kupima uaminifu wake. Wanaume 7 wakamtokea kwa nyakati tofauti na kibaya zaidi walikuwa wanamwambia...
  18. CORAL

    Samsung kutengeneza betri za kuchaji dakika 12 tu!!!

    Timu ya wataalam wa teknolojia wa Samsung Adanced Institute of Technology (SAIT) kwa kushirikiana na wataalam toka Seoul National University's School of Chemical and Biological Engineering, "wamevuka mipaka" kwa kutengeneza betri zinazoweza kujaa chaji toka 0% hadi 100% kwa dakika 12 tu...
  19. CORAL

    Madaktari na Wafamasia- Naomba msaada

    Nina shida sana na hormone hii: Human chorionic gonadotropin (hCG) au Gonadotropin- releasing hormone (GnRH). Nahitaji mojawapo. Naomba kujua nitapata wapi na zinauzwa kwa jina gani kibiashara. Nimeuliza pharmacy nimeshindwa. Nataka kutumia kwa mifugo ku "induce evolution." Nitashukuru sana.
  20. CORAL

    NaombaKiswahili cha haya maneno

    ENGLISH SWAHILI Tyiping Kuchapa Printing ? ? ? Nawasilisha
Back
Top Bottom