Nimekuwa nikisikia neno Nairobi kwenye movies and series nyingi sana za western, na nadhani pia na nyie mtakubaliana na mimi kuhusu hili.
Swali langu ni kwanini Nairobi mara nyingi na sio jiji jingine la Afrika? Kuna Lagos, Cairo, Cape Town, Dar es Salaam, Luanda, Johannesburg, Dakar na mengine...
Ligi yetu tunaambiwa inakuwa kwa kasi lakini aisee nikiangalia mechi ambayo haipigwi Azam complex huwa sioni mvuto wowote..
Tuwekeze kwenye viwanja aisee...Kwa Mkapa hadi leo hamna hata tv screens za matangazo pembezoni..tuko serious kweli?..Taa za kuunga unga,aibu tupu.
Uzi tayari..shots...
Tuache utani wakuu huyu Mimi Mars haimbwi sana midomoni mwa watu na yeye mwenyewe sijui anajichukuliaje but ngoma zake zote zina taste nzuri sana.
Naenjoy "La la la" aliyo mshirikisha Toto bad Marioo and what i can say,this song is a very very good, huyu dada anajua kutupa ngoma kali. Ngoma...
Wakenya wengi sana wanakuja kwenye hospitali za Mkoa wa Kilimanjaro. Naomba kuuliza, hivi nyie huko kwenu hamna hospitali au shida ni nini hasa?
Kipindi kile Magufuli anataka kuleta Madaktari wa Tz hapo Kenya baadhi yenu mling'aka kuwa hamtaki kutibiwa na waganga wa kienyeji.How comes ndugu...
Wakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation...
Wakuu good evening.
Aisee kuna hili swala mimi huwa linanitesa sana..Mimi huwa kuna muda namtamani tu mwanamke i.e sijiingizi kwenye serious relationship,yaani nazugazuga tu kuwa nampenda huku nikimtumia na baada ya muda naona sina haja ya kuendelea nae,kwanza kadri navyozidi kuwa ndo...
Wakuu heshima kwenu.
Nilikuwa Youtube nacheki baadhi ya hotuba za Mwalimu Nyerere nikakutana na hii ambayo alikuwa anatoa maneno makali kuhusu Viongozi au Wanasiasa "Malaya Malaya"..
Pia akaongezea kuwa JWTZ ni jeshi ya Wananchi na sio jeshi la vibaraka..Pia akang'aka kuwatafuta mmoja baada ya...
Nipo sehemu hapa kuna mdajada unaendelea StarTV, wamemualika mpinzani anatema cheche ambazo kwa mtu mwenye akili sawa lazima aone jamaa ana point..sidhani kama kuna Media inaweza kutoa platform kwa hili kutendeka..hongereni StarTV.
Anahoji inakuwaje watendaji wa CCM wanatembea nchi nzima...
Ni vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu...
Wakuu mambo ni nini?
Hivi inakuaje bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inadhaminiwa na mtandao namba moja wa simu TZ yaani Vodacom apate Tsh 80m wakati mshindi wa Ndondo Cup yeye anavuta Tsh 20m?
Hizi sio dharau?.
It's high time kwa mdhamini mkuu wa ligi kumwaga pesa kidogo,au kama vipi...
Nilikuwa nime-tunein to Clouds FM Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo.
Kuna bwana huko Zanzibar aliokota milioni 150 na akaona ni bora atangaze ili aliyezipoteza aje kufwata mzigo wake alikuwa anauliza tricky questions ili ampate aliyezipoteza kweli...
Good evening sis' and bro's
Najihisi mwenye furaha kushinda mtu yeyote duniani leo hii...
Kuna maeneo ndom zenye ubora zimepotea na zilizobaki ni za viwango vya chini,kupasuka katikati ya gemu ndio kitu zinafanya zimetaka kuniletea msala, good news ni kuwa nimechomoka na nitaangalia game ya...
Good evening brothers and sisters.
Kuna jambo nimekuwa nalishuhudia mara kwa mara na limekuwa likinipa maswali kadhaa. Ni kuhusu wanaume kuongea maneno "nasty" kwa wahudumu hasa wa migahawani na sehemu nyingine na wengine hadi wanawachezea miili yao.
Leo niliingia sehemu kupata mtori asubuhi...
Hi everyone!
Wana MMU naomba ni-adress jambo moja ambalo nishakutana nalo mara kadhaa na linanichanganya kidogo.
Wakati na ku-sex (foreplay or penetration) kuna muda mwanamke huwa anasema anataka kwenda chooni kukojoa. Mimi huwa nawazuia ila huwa wanaendelea kulalamika kuwa wanataka kwenda...
Google wiki hii wametambulisha simu zao mpya ambazo ni Pixel 4 na kaka yake Pixel 4XL
Bei ya Pixel 4 ni $799 kwa 64gb
Bei ya PIxel 4XL ni $899 kwa 64gb
Wataalamu wa Tech,mnazungumziaje huu ujio mpya wa Google??..
CHIEF MKWAWA
Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??
Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha...
Huyu bwana mdogo kwa upande wangu namwona kama ndo msanii mwenye kazi nzuri zaidi kibongobongo kwa sasa..
√ Uandishi ulioenda shule
√Melody
√Clean lyrics
Everything top notch
Sema music industry ya bongo bado sana na imelalia upande mmoja ambapo huo upande ni lazima uchanganye muziki na...
Wakuu nilikuwa namfanyia dogo application UDOM,sasa kwenye zile three choices naona kama wanataka nijaze zote,mimi nataka nimuombe moja tu..nifanyaje hapa wakuu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.