Search results

  1. Jambo Kubwa

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  2. Jambo Kubwa

    Je, Amina atakubali kutoa penzi..?

    Habari ndugu jamaa na marafiki. Jambo Kubwa nawapa kisa changu alafu mnisaidie kujibu swali langu lililosimama kama kichwa cha habari hii. Wakati nimeanza chuo, chuo flani chenye jina kubwa jijini Dar es Salaam nilibahatika kupata rafiki wa kike anaitwa Amina. (naamanisha ni rafiki wala sio...
  3. Jambo Kubwa

    Wizara ya Ardhi haitaki kuwalipa wataalamu wake?

    Habarini ndugu jamaa na marafiki.. Poleni na hongereni na kazi na majukumu ya kila siku. Nisiwachoshe sana na salaam naomba niende kwenye mada husika. Mnamo tarehe 26/03/2022 Wizara ya ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi, ilitangaza nafasi 1448 za ajira ya muda wa miezi 3 (siku 90) (tangazo...
  4. Jambo Kubwa

    Wimbo mpya

    Habari ndugu jamaa na rafiki...!! Karibu kusikiliza wimbo mpya. Tati ft Onesix - Mchungaji Produced by Binladen, Tongwe Records. Link [emoji1542] [emoji1542] Tati Injinia - Mchungaji free MP3 download | Mdundo.com @tati_injinia @onesixtz binladen #Mtumierafikiamtumierafiki. #share/sambaza Ahsante.
Back
Top Bottom