Search results

  1. Walt white

    Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  2. Walt white

    Maombi gani ya watu wako wa karibu yanakukera? Ukiachilia mbali pesa?

    Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu. 1.Simu yako ina dakika uniazime? 2.Kuombana vifaa vya kazi. 3.Kuombana mavazi hasa viatu. Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
  3. Walt white

    Iso files za FIFA GAMES

    Wakuu hivi naweza vp kupata iso files za magem ya mpira ya FIFA au PES ili nicheze kutumia psp emulator kwenye Android yangu?
  4. Walt white

    Iso files za FIFA GAMES

    Wakuu hivi naweza vp kupata iso files za magem ya mpira ya FIFA au PES ili nicheze kutumia psp emulator kwenye Android yangu?
  5. Walt white

    Jf-expect member

    Wakuu naomba nieleweshwe inakuaje kuaje mpaka mtu anakuwa Jf-expect member, yan stage anazopitia na naomba nieleweshwe vyeo vyote vya members humu kwa mtiririko sahihi, Shukran
Back
Top Bottom