Search results

  1. M

    Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

    Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala...
  2. M

    Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

    WanaJukwaa, Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu? Haki huinua taifa. Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa...
  3. M

    Heavy studying materials available here

    pata material mbalimbali ntakuwa na update
  4. M

    Uchaguzi 2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

    Wanabodi hakuna jambo lolote linalohusu masuala ya kifedha linalofanyika wilayani Itilima bila kuwa na harufu ya upigaji, tangu watu wamalize uandikishaji hawajapewa fedha yao, ukiwauliza wanakuambia wanasubiri mwongozo toka tamisemi. Aisee oneni aibu basi mbona wilaya nyingine wamepewa...
  5. M

    Tetesi: Wakituacha acha watuache tu hawa sio wenzetu!!!

    Basic salary sh.6,000,000 Entertainment allowance sh.1,000,000 House allowance sh.1,250, 000 Car maintenance allowance sh.3,000,000 Gym membership sh.60,000 Vehicle fixed cost allowance. Sh.3,000,000 Committee meeting allowance sh.100,000 Constituency allowance sh.900,000 A grand total amount of...
  6. M

    Natafuta mwanamke mvumilivu na mchakarikaji

    Habari wadau Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Wasifu wangu ni: Rangi: mweusi. Afya: sina virusi vya ukimwi. Kabila: mpare. Urefu : 140. Elimu: stashahada ya Elimu. Dini: mkristo. Dhehebu: mlutheri. Kazi: mwalimu. Sifa za mwanamke ninayemtaka ni Rangi: maji ya kunde/mweupe. Dini...
  7. M

    The battle of gaugamel :upi ni ukweli?

    Wakuu inasemekana katika hii vita, mfalme mkuu (Alexander the great) alikuwa na jeshi dogo mno, dhidi ya mfalme wa Persia Darius, inasemekana jeshi la Alexander lilikuwa linaingia takribani mara kumi kwa jeshi la Darius, lakini jeshi imara na lililofundwa vyema la Alexander lilifanikiwa kunyakua...
  8. M

    Salary slip hewani, no increment no ongezeko

    Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
  9. M

    Hivi CHADEMA nani ametuloga?

    Wanajamii ni muda mrefu sana sijapost humu kwenye hili jukwaa lakini nahisi kuna ka mdudu kanatutembelea kwenye Chama chetu, sio kila mwanazuoni anayeondoka Chadema amenunuliwa, Chadema ya kipindi hiki sio Chadema ya kipindi cha nyuma Raisi ametuona kuwa sisi ni dhaifu ndio mana anafanya...
  10. M

    TANESCO wilayani Itilima wanahujumu juhudi za mbunge Njalu

    Wanabodi huyu mbunge kijana ni moja ya wabunge wachapakazi sana, nadhani ni mchapakazi kuliko wabunge wote mkoani Simiyu, lakini hawa Tanesco wa wilaya ya Itilima wamekuwa wanakata umeme karibia siku 2 bila umeme kwa kisingizio cha mvua ambazo hata hazijachanganya, je zikichanganya itakuaje...
  11. M

    Kumbe inawezekana kuwashtaki Mkapa,Kikwete kwa makosa waliyofanya wakiwa mawaziri?

    Haiwezekani kuwashitaki kwa makosa waliyofanya wakiwa maraisi lakini inawezekana kuwashtaki kwa makosa waliyofanya wakiwa mawaziri. Mnyerede
  12. M

    Nina laki 2 nipo Bariadi natafuta freezer ndogo

    Wadau mliopo Bariadi changamkieni ofa hiyo bila kusita. Mnyerede
  13. M

    Rais Magufuli awafanyia sherehe ya kuwapongeza wajumbe wa kamati ya makinikia

    Dar es Salaam. Rais John Magufuli amekutana na wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi wa mchanga wa madini katika makontena 277 yaliyozuiwa bandarini. Taarifa iliyotumwa na Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu leo (Jumatano) imesema Rais amewapongeza wajumbe hao kwa kazi nzuri...
  14. M

    Je, wajerumani ni aliens?

    Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala...
  15. M

    Nateswa na dawa nilizopakwa na Babu yangu!!

    Wana jamvi, Habari za mida tena, kuna story yangu nataka niwashirikishe halafu mnipatie mawazo yenu. Mimi ni kijana toka pande za kaskazini mwa Tanzania, nikiwa natokea katika kabila la pili linaloongoza kwa umaarufu miongoni mwa makabila yanayopatikana mkoani humo. Sasa basi kipindi kama cha...
  16. M

    Msaada: Mjomba wangu amenaswa na kitoto cha darasa la saba

    Wakuu, Naomba msaada wenu wa kimawazo juu ya kumnasua huyu Mjomba wangu ambaye amenaswa na kitoto kidogo cha darasa la saba jijini Tanga. Ipo hivi huyu Mjomba wangu tumepishana kiumri kidogo kama miaka michache tu hivyo baadhi ya siri zetu huwa tunaambiana. Yeye huwa anafanya biashara ya kuuza...
  17. M

    Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

    Wanabodi, Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza...
  18. M

    Je CWT iliishia wapi?

    Wanabodi wote mnakumbuka kuwa CWT walisema kuwa mgogoro na serikali wameusitisha kwa sababu wampata email toka kwa simbachawene kuwa tar 16 March mwaka huu wakae walizungumzie suala hilo. Je ilikuwa ni changa la macho? Ama kweli Tanzania bila Chartism na luddism hatuwezi kuendelea kabisa aisee!
  19. M

    Mh. Rais Magufuli anaweza akajirudi siku ya Mei Mosi?

    Wanabodi, moja ya mambo ambayo wananchi hasa watumishi wa umma wanayoyatarajia raisi kuyaongelea siku ya wafanyakazi ni haya yafuatayo: 1. Kutolea ufafanuzi suala la watumishi kupitia kozi maalum ndipo wapande madaraja. Watumishi wanalitegemea sana hili uliongelee mheshimiwa. 2. Kutolea...
  20. M

    Mgomo wa madaktari Kenya si wa mchezo mchezo!!

    Mgomo wa madaktari wakidai kuongezwa mishahara waathiri maisha ya wagonjwa Wagonjwa katika hospitali za umma wanaathirika vikali kutokana na mgomo wa madaktari ulianzishwa kwa niaba ya kuomba mishahara yao iongezwe na serikali. Wagonjwa kadhaa wameripotiwa kufariki kutoka na mgomo wa madaktari...
Back
Top Bottom