Je, wajerumani ni aliens?

Mnyerede

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
210
227
Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala dunia mara mbili, jinsi anavyowabagua hata weupe wenzake na mambo mengine mengi yanayofanywa na mjerumani yanaonyesha yupo tofauti na watu wote duniani.
 
Sema umependa tu usitake kuleta mambo mengine kuna mwingine aliyependa Mzungu wake wa USA atesema hivyo hivyo, mwingine kazimia kwa Mjapani atasema pia kama wewe kuna mwingine kafa kazikwa kwa Mchina, ni nguvu ya mapenzi tu inakusukuma!
 
Usije ukamlinganisha mjerumani hata siku moja na mchina mmarekani mwenyewe kaiga teknolojia toka ujerumani
 
Sema umependa tu usitake kuleta mambo mengine kuna mwingine aliyependa Mzungu wake wa USA atesema hivyo hivyo, mwingine kazimia kwa Mjapani atasema pia kama wewe kuna mwingine kafa kazikwa kwa Mchina, ni nguvu ya mapenzi tu inakusukuma!
:D :D :D
 
Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala dunia mara mbili, jinsi anavyowabagua hata weupe wenzake na mambo mengine mengi yanayofanywa na mjerumani yanaonyesha yupo tofauti na watu wote duniani.[/QUOTE

HAO NI WATU WA KAWAIDA KAMA WAMASAI TU,
USITISHIKE BINAADAMU WOTE NI SAWA.
 
Ukweli ni nini? Ukweli ni relative!

Ukweli sio Relative, ukweli ni uhalisia, ukweli ni ndivyo ilivyo
Ukisema raisi wa sasa wa Tanzania ni Magufuli huo ni ukweli na wala haiwezi kuwa tofauti mpaka useme relative
 
Nimekwambia una mahaba tu hkn kingine, ukiongea na Msenegali au sijui Ivory Coast atakwambia France ni grand national, na ndiyo alpha na Omega, ukiongea na Mkenya atakwambia English man ni second to God n.k. ni mahaba tu!
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli kaka, fact haina mbadala na wala sio relative
 
Mbona huyo mjerumani alishindwa kwa warussia au umewahi fatilia The Battle of Stalingrad?..
Kama alivosema Barbarosa hayo ni mapenzi binafsi kwa wajerumani...
 
Warumi (italy) wametawala dunia zaidi ya karne nzima hao mabwege ata kuwa super power hawajawahi kuwa, mimi nilifikiri unazungumzia urusi au marekani
 
Back
Top Bottom