KWANINI UTUMIE JIKO HILI LA MKAA KIDOGO
1. JIKO LA KUPENDEZA KWENYE NYUMBA YAKO LIMEUNDWA KATIKA UMBO LA KUPENDEZA NA MALIGHAFI ZILIZOUNDA JIKO NI ZA MITHIRI YA SILVA HIVYO LINAKUPA UNADHIFU
2. LINATUMIA MKAA KIDOGO MNO, LINAPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 80.
3. HALIPATI JOTO...
HUDUMA ZETU KATIKA TASNIA YA UFUGAJI
🍎Mashine za kutotolesha vifaranga [full automaticIncubator]
🍎Vichanja vya kufugia kuku wa nyama na mayai (Poultry cage's)
🍎mashine ya kutengeneza chakula chenga chenga [pellet machine]
🍎Taa za joto maalumu kwa ajili ya kulelea vifaranga.
🍎Vifaa vya...
MWANAUME CHUKUA TAHADHARI UNAPOTAKA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA MABINTI WA SASA
Na Comrade Ally Maftah
Kumezuka tabia za wakina dada kufanya utapeli katika mfumo wa kimahusiano, kuna mabint na wengine wapo kwenye hizi dating site wameamua kuishi kwa kutumia mfumo wa mahusiano yasiyofikia...
WANAWAKE WANAOANGUKIA KATIKA MIMBA NA MARADHI NA KUKIMBIWA HUWA WANAKUWA WAMEKOSEA HAPA
Na Comrade Ally Maftah
Kutokana na ongezeko kubwa la watoto wanaokosa malezi ya baba leo nina wiwa kutoa elimu wa kina dada wajue ni makosa yapi wanakuwa wameyafanya na kijikuta wanakimbiwa na wanaume
1...
WANAWAKE WANAOANGUKIA KATIKA MIMBA NA MARADHI NA KUKIMBIWA HUWA WANAKUWA WAMEKOSEA HAPA
Na Comrade Ally Maftah
Kutokana na ongezeko kubwa la watoto wanaokosa malezi ya baba leo nina wiwa kutoa elimu wa kina dada wajue ni makosa yapi wanakuwa wameyafanya na kijikuta wanakimbiwa na wanaume
1...
KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA,
Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni wanaomyumbisha ni kama wanambembeleza akiwa usingizini au akiwa kwenye chumba cha masage.
Iko hivi...
FOREVER BEDROOM PACK ( KIFURUSHI )
1. ARGI +
2. MULTI MACA
3. VITOLIZE FOR MEN
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA.
ARGI +. (FOREVER ARGI PLUS )
🫴🏾Kirutubisho hiki kipo kwenye mfumo wa unga, unaweza kuchanganya kwenye maji, maziwa mtindi, sharubati
Kazi kubwa ya Argi Plus ni kuhakikisha...
Kitabu cha kupunguza gharama za ufugaji kipo tayari,
Soft copy ni tsh 2000.
Hard copy 20000.
Kitabu kipo maktaba ya taifa kwa uwezo wa allah.
Sura ya kwanza
Vyakula mbadala na uchanganyaji wa chakula
1. Hydroponic fodder
2. Azola
3. Minyoo
4. Bio earn
5. Inzi chuma
6. Molases
7...
TENGENEZA NAFASI, ILI UWE MUHIMU NA UCHAGULIWE KUTOKA KUNDINI
Na Comrade Ally Maftah
Somo la leo nitajumuisha maeneo yote ninayofanyia kazi kwa ukaribu na uzoefu wangu tangu naanza kazi mpaka leo nilopofanya maamuzi ya kutoajiliwa tena isipokuwa kwa mkataba wenye maslai mapana mno.
Moja ya...
KUWA MUHIMU NA SI BORA
Na Comrade Ally Maftah
Bahati ninayoipata kijenga marafiki imenikutanisha na Abdulkarim, katika harakati za kisanaa tukiwa katika moja ya kikao nilibahatika kuokota busara kadhaa kutoka kwa kiongozi huyu.
KUWA MUHIMU NA SI BORA
Kuna vitu ni muhimu sana lakini...
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Moja kati ya makosa nuliyowahi kuyafanya miaka kadhaa iliyopita ni kubembeleza watu wanielewe, kumshawishi mtu kwamba ninafanya kitu sahihi, nakumbuka siku naamua kwamba sitaki tena kuajiriwa na nimeamua kujisimamia mwenyewe na kuingia katika...
USIJIINGIZE KWENYE MAHUSIANO UKIANZA KUONA DALILI HIZI
Na Comrade Ally Maftah
Changamoto nyingi zinawakumba watu kwenye mahusiano huwa dalili zinakiwa zimeshaonekana mapema tu.na dalili hizo ni zifuatazo
1. MASHARTI -: MAHUSIANO YA MASHARTI HAYAFAI
Usiingie kwenye mahusiano endapo mwenza wako...
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako.
1. PESA/ MALI
Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume wanaowatafuta na moja ya kigezo ni awe na hela, mimi mtu ambae natafakari mambo nilijiuliza unaposema mtu...
Faida yake
1. Huondoa tatizo la kupotea kwa chakula
2. Usafi wa chakula
3. Inachukua nafasi ndogo bandani
4. Huondoa uwrzekano wakuambukizana magonjwa
MAWASILIANO
0785670227
Comrade Ally Maftah
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Baada ya kipindi kirefu kupita tangu WILIAM MALECELA ( LE MUTUZ ) rafiki yangu kumaliza kazi aliyotumwa na Mungu nimeona kuna ombwe kubwa katika sanaa ya uelimishaji kwa kutumia mifano halisi, na kutafsiri elimu ya magharibi katika nadharia za...
WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
Na Comrade Ally Maftah
Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini?
NIININIH NI!
1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA
Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri.
2. MATUMIZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.