Search results

  1. Detective J

    Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Man you know nothing about intelligence world. Eti imeshushwa na space laser seriously? Yaan waataalam walioko ground iran bado hawajatoa tamko. Kaa kwa kutulia instead of generating conspiracy theories
  2. Detective J

    Tetesi: MOSSAD wafanya yao

    Well kwenye vita yoyote kuna option mbili. Ya kwanza ni kujaribu kuokoa mateka, ikishindikana ya pili ni scorching earth campaign upande wa adui, shida ya hii method civilians akikatika katikati basi atakula shaba au atajumuishwa. Ndio kinachoendelea sasa Hamas hawapati shida ila palestines, hao...
  3. Detective J

    Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Mmoja ana hands on experience through diploma, mwingine ndio hana experience but large theoretical knowledge
  4. Detective J

    Uwezo wa wachezaji wa zamani, sijapata kuona kwa sasa

    kizaz cha akina messi and ronaldo kiko class yake, hawa ni wale last batch natural talented individuals. After that itabidi tusubiri next 20 yrs or more mpaka wapatikane wengine
  5. Detective J

    Uwezo wa wachezaji wa zamani, sijapata kuona kwa sasa

    Back then wachezaji hawakuwa na mbeleko, they knew jitihada zao ndio zitawabeba and they have to work hard more kufika walipo fika. Modern day too much kudeka, too much mbeleko, too much rules
  6. Detective J

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Nope sorry to inform you, seems like it, even kobe brayant suffered the same, the late vice president john garang suffered similar situation. All other reasons are just conspiracy theories
  7. Detective J

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Well they can call it whatever they want and it will change nothing. The fact iran itself is calling it an accident, and thats is enough
  8. Detective J

    Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    According to kiongozo, he is next. Atashika madaraka for 50 days wakati wanafanya utaratibu wa kupata kiongozi mpya
  9. Detective J

    Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

    Out of topic kabisa , Man hii taarifa haina uhusiano wowote na unayo yasema. Ulitaka jf wafukuze wageni? Basi piga ban ngozi nyeupe wasije nchini kabisa.
  10. Detective J

    KKKT mbona roman catholic hawaangaiki na hao wa mafuta mahubiri yenu kila siku vs mafuta si nanyie muanze uza mafuta?

    Kanisa catholic halibariki mashoga, hakuna mahali wamefanya hivyo. Kanisa pekee lililo baki na msimamo wake
  11. Detective J

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Yap completely uzembe wao wenyewe, hakuna wa kumlaumu kwenye hili
  12. Detective J

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979. So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain. Helicopter iliyopata ajali bell...
  13. Detective J

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Correction, ayatollah sio tishio kwa mataifa yoyote. Angekua threat wange deal nae one way or another. Even kwenye risk assesment kuna threat analysis, levels . Je ayatolla anapose hiyo risk ?
  14. Detective J

    Video ikiwaonesha raia wa marekani wanaosadikika kuwa CIA wakiomba wasiuwawe baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Congo DRC

    According to habari zilizopo hajasema ni CIA, but raia wa marekani ambao walishirikishwa na raia wa congo
  15. Detective J

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Hana phd yoyote ni kanjanja tu, unaujua mtiti wa kupata phd wewe? Amount of reasearch and papers to go through?
  16. Detective J

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Kama ameondoka akiwa hana dhambi yes, lakini kama anazo hizo sasa hizo ni between yeye na Mungu Dini haikupeleki mbinguni bro
  17. Detective J

    Usafiri wa Helkopta unaonekana siyo usafiri sahihi kwa viongozi wa kitaifa; nini maoni yako?

    Ni usafiri mzuri lakini unahitaji proper maintenance. White house mpaka leo ana helicopter ya kumsafirisha rais. Matter of fact viongozi wengi wanazo. Ila usaifir huo unategemea constant maintenance
Back
Top Bottom