Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,182
- 15,839
Huyu msukuma sifa zimezidi sasa anaongea pumba.
Miili inatofautiana sana. Hapo ukiweka watoto wenye miaka 10 nchi nzima kuna ambao vifua vipo flat, kuna ambao tunaanza kuchomoza na kuna ambao wana matiti makubwa. Ni maumbile tu.
Hata yeye atafute age mate wake atakuta kuna wengine wazee zaidi yake na wengine vijana zaidi yake.