Only two or three things are certain there.
*Bad weather.
*The oldage of helicopter and lack of maintanance.
*Internal politics conspiracy and espionage.
1. Hali ya hewa mbaya kwa helcopter ya rais pekee
2. Hizo mbili hazikuwa za zamani na zilifanyiwa service ndani ya muda?
 
Hizi propaganda za West na udaku.
Mpaka sasa Israel haijaongea kitu,pia mataifa mengi yanasadikisha kuwa HELIKOPTA NI YA ZAMANI NA HAIKUFANYIWA MAINTANANCE ZAIDI YA MIONGO.
Hizi helikopta ni toka kipindi cha Mohammed Reza Pahlavi.
Uchakavu wa helikopta ndio umechangia.
Wabongo acheni udaku ilhali hao Israel wenyewe hawajazungumza kitu.
Maana pia ripoti za ndani zinadai humo humo Iran huwenda kuna hujuma imetendeka kwasababu Ebrahim Raisi alikua ni rais aliyethubutu kubadilisha momentum ya ushirikiano baina ya Iran na Lebanese-Hizbollah.
Mpaka sasa Hizbollah nao hawajaongea kitu.
Acheni udaku kama watoto wa kike.
😂😂😂😂😂😂
Pole sana msiba mzito huu embu omboleza kwanza tusije na ww tuka kupeleka kibla hiv hivi kwa kukupa sitresiiii
 
Only two or three things are certain there.
*Bad weather.
*The oldage of helicopter and lack of maintanance.
*Internal politics conspiracy and espionage.
It was pretty foggy and winds were extraordinary . Not all helicopters that crash into a mountain in zero visibility. A space laser aka DEW isn’t indicated at all. Ayatollah will blame Israel anyways. Iran messed up. I pray the people rise up & regain their Nation & freedom!!🔥👊🏼👁️
 
Hivi kama Kuna ukungu na ndege/helikopta isionekane kwenye radar ndio inaanguka? Si rubani anabaki anazunguka huko Juu ama zinaruka jirani sana na Ardhi kiasi Cha kugomga milima?
Ukungu,mvua au mawingu pekee sio issue kabisa kwa ndege au helcopter kupaa,ishu ni dhoruba,upepo mkali.

Hali ambayo huwa haitabiriki.
 
BREAKING

IRNA confirmed that President Raisi was on board the helicopter and that rescue teams had yet to determine the location of the accident due to poor weather conditions.
Atakaye ilaani Israel atalaaniwa na atakayeibariki atabarikiwa.
 
Kobaz effect.
Rais kapanda helicopta. Helcopta imeanguka. Helcopta ilioambatana nae imefika salama. Hali mbaya ya hewa wanausalama hawakuona hali ya hewa ni mbaya. ? Ok ilikua alipotoka nje ya taifa lake
Kama makamnda wakuu wanauwezo wa kuuawa ndani ya tehran kwa nn asiwezwe raisi.
Kisasi cha israel hiko amna haja ya kuficha.
 
1. Hali ya hewa mbaya kwa helcopter ya rais pekee
2. Hizo mbili hazikuwa za zamani na zilifanyiwa service ndani ya muda?
No that's not what happened, the president of Iran and crew men saw ghost in sky and wish to have a meeting
 
Makamu wa Rais Mohammad Mokhber atachukua mamlaka baada ya kifo cha Raisi. Kwa mujibu wa katiba ya Iran, iwapo rais atafariki au kutoweza, makamu wa kwanza wa rais atachukua hatamu hadi uchaguzi ufanyike ndani ya siku 50.
 
Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.

Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.

Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
 
Hutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa

Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.
Uko sahihi mkuu.
 
Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
Ninavyojua vikwazo vinahusu nchi za magharibi,mashoga zao Urusi na Nkorea,hawawezi zuiwa na mtu kushirikiana na swahiba wao.

Ama kweli wanasema vita sio nzuri kutumbukia,isipokuacha na vidonda,itakuacha na aibu.
 
'Israel behind the copter crash that killed Iran president Raesi, others": Itar Tass reported
 
Back
Top Bottom