Search results

  1. byakunu

    Unajisikiaje unaposababisha vifo vya watu kwa ajali na kufanikiwa kukimbia?

    Sasa hata ningebaki eneo la ajali ndo ningewafufua? kwa scenario hiyo ni salama zaid kukimbia kuliko kubaki. Baki ili mashuhuda wakuue na wewe
  2. byakunu

    Hivi ninayechukizwa sana na tabia hizi zifuatazo niko peke yangu au?

    nachukia mtu anae chukia chukia kilakitu kama wewe
  3. byakunu

    Benki ya I & M yawapiga mkwara mzito wadeni wake, kusambaza picha na madeni yao kama wakopeshaji mtandaoni

    Tuoneshe hilo tangazo watu wametangazwa tuone, vinginevyo kalipe deni la watu na sisi tukope
  4. byakunu

    Subaru vs Vanguard

    Hivi ni una ona wewe, sio wote wanaona hivyo
  5. byakunu

    Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    wakoloni walikuja na monsoon winds kutuletea hizi dini na zimetushika pabaya sana, hatuchomoki.
  6. byakunu

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    hii 32,769,250 ikiwa kama mtaji wa biashara kwa form4 failure anaanza nayo, nina uhakika ndani ya miaka miwili huyu mtu akiwa na bidii ya kazi atakua na mtaji wa 100M
  7. byakunu

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Weka picha acha majingu hatukuelewi. Subiri miezi mitatu ununue G wagon na Lc 300 Porche, Y63, fortuner 2024 zilizo zama kwenye maji dubai uache chuki
  8. byakunu

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    unaidharau 1.5 ukiiona ni ndogo sana, hiyo hela ukiigawanya kwa siku 30 maana yake kwa kila siku mtu anapata 50,000 (mpaka siku za jumamos na jumapili au holiday ) kwa mtu mwenye akili ya saving na matumizi sahihi ya hela anafanya jambo la maana, Tunasahau pia kuwa kwa mshahara wa hii 1.5 TAKE...
  9. byakunu

    Nimelia sana usiku wa leo, nipo katika kipindi kigumu sana cha maisha

    Mtoto wa kiume kulia lia sio solution, amka pambana kapigane vita vya kimaisha ukiwa imara, hata hiyo elimu ya ualimu unayosomea haitakusaidia kitu, ingia mtaan kapambane sana, katafute hela, kulia lia maisha magumu sio michongo, maisha ni magumu kabla hata hujazaliwa wewe, life has never been...
  10. byakunu

    Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Islamic..... islamic........ islamic........ arabic....... arabic ...........islamic.......divinity toeni ujinga huu kwenye mitaala, mambo ya udini hayata kaa kulikomboa taifa hili kwenye umaskini bado dini zenyewe hazilipi kodi sasa si mnazalisha wachungaji na mashehe wengi baadae...
  11. byakunu

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    Gari imekaa zanzibar miaka 20 ikija bara mnaita mpya kwa namba E zanzibar nayo ni bongo imejaa gari mbovu na chakavu
  12. byakunu

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    Canter town ace na mende nyingi zinatoka zenji zimepiga kazi huko zaidi ya miaka 20 zinaletwa na usajili wa E bara tunaziita mpya
  13. byakunu

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    magari mengine yametumika Zanzibar yameburuzwa ovyo ovyo yakivuka bara yanasajiliwa namba E ya leo, na ushamba wetu wa bara tunazishobokea namba ndo gari mpya.
  14. byakunu

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    kuna namba EGB Harrier Nimeiona imetembea Km 287500 na bado mtu anajiona kapata gari kweli kweli
  15. byakunu

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    sisi wabongo tuna kaushamba fulani kakuzaliwa nako, hatuji kukubali na kubadilika. mtu anachekelea namba mpya ya gari badala ya kuangalia ubora wa gari katika engine, gearbox na body.
  16. byakunu

    Wakati Catherine akipambana na Biashara kutoka Mtaji wa Milioni 1 hadi 100, wanawake wengine wanalalamika hawaolewi ili wapate Kitonga

    Kuna Niffa wa yahaya muuza ngada nae muweke. Mwanamke kufanikiwa bila mwanaume sometimes ni kwa mbinde sana, hawasemi ukweli
  17. byakunu

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Demu anakujibu hivyo na wewe upo tuu? Hapa ilitakiwa utupe mrejesho kuwa ushaachana nae unatupa way foward sio kuomba ushauri ufanyaje, kuna madem kibao mtaan bro achana na iyo takataka fasta
Back
Top Bottom