Search results

  1. pancras utenga

    Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  2. pancras utenga

    Lipi sahihi kati ya neno Ovyo na Hovyo?

    Jamani naombeni kufahamishwa, Kati ya haya maneno lipi ni sahihi?
  3. pancras utenga

    Full Technician Certificate (FTC) ni cheti gani?

    Mimi nilisoma certificate na Diploma ya law,,, Sasa katika kuaply niliattach cheti cha diploma nta level 6 ambapo sikuona sehemi ya kuweka cheti cha certificate... Kuna MTU ananiambia ile FTC niweke cheti cha certificate in law Ndo Niko njia panda niache tu kile kile cha diploma au nikiweke...
  4. pancras utenga

    Ni apply kupitia TCU au NACTE?

    Habari zenu wana JF wenzangu, Mimi nilifanya application 28 may kupitia NACTE, ila sikukamilisha application coz kuna vyuo vilikuwa havionekani so nikaenda NACTE nikaambiwa nisubiri TCU watatupa muongozo baadae baada ya majadiliano yao kumalizika. Sasa naona TCU wameshafungua nasioni muongoza...
  5. pancras utenga

    Ni jinsi gani naweza kuishinda HOFU na WOGA?

    Habari zenu wanajf,,, Mimi mwenzenu ninakama wiki na kitu sasa nimekuwa nikiishi kwa hofu na woga sana,, nashindwa hata kuelewa in kwanini Naombeni ushauri jamani namna ya kuishinda hii hali...
Back
Top Bottom