pancras utenga
Member
- May 25, 2016
- 63
- 45
Jamani naombeni kufahamishwa,
Kati ya haya maneno lipi ni sahihi?
Kati ya haya maneno lipi ni sahihi?
We utakuwa ni mjerumaniHakuna neno HOVYO katika lugha ya Kiswahili.
Mnhuu!!!Hakuna neno HOVYO katika lugha ya Kiswahili.
Unatuchanganya mkuu.sahihi ni ovyo hovyo