Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,799
- 46,521
Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili?
" Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya.
"Kuingiliwa" kwa maana ya kupunjwa pesa unayostahili au kulipa pesa zaidi ya unavyostahili. Huu msamiati unatumika sana na watu wa Mbeya.
"Kuhemea" kwa maana ya kwenda kununua vitu sokoni. Huu msamiati unatumika sana na watu hapa kanda ya ziwa.