Search results

  1. K

    Sheria ya Kazi pale mwajiri anaposhindwa kuhudhuria CMA

    Wakuu naomba kujuza. kume kuwa na kawaida kwa waajiri kupuuzia summos wanazopewa kuhudhulia usuruhishi CMA hivi sheria inasemaje kwenye hili naomba kujuzwa.
  2. K

    Wapi naweza pata sports ream za gari size 14 & 15

    Wakuu kwa wanaofahamu. Wapi kwa walio dar naweza pata sports ream za tairi size 14 na 15. Na bei zake zipoje.
  3. K

    Kurudisha pesa ulioituma kwa wakala wa MPESA kimakosa

    Wakuu, Unawezaje kurudisha pesa ulioituma kwa wakala kimakosa na wakala amekwisha itoa. Nimewasiliana na customers care ila naona kama msaada unakua mgumu. Kwani wanasema hawawezi kuirudisha mpaka wakala awe na pesa.
  4. K

    Mwenye ujuzi na magari ya Mazda Demio, Mazda Premacy

    Ndugu mpo poa wenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu naomba anisaidie kuhusu changamoto zake au ubora wake pia upatikanaji wa spare zake?
  5. K

    Maumivu ya tumbo na kujaa gesi baada ya kunywa maziwa

    Kama heading inavyojieleza. Napenda kufahamu sababu zinazopelekea kila nikinywa maziwa freshi. Nasumbuliwa sana na kuumwa tumbo au tumbo kujaa gesi.
  6. K

    Ukiacha VETA ni wapi kuna driving school nzuri na nafuu?

    Ukiacha VETA ni wapi kuna driving school nzuri na nafuu? Kwa maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Sinza. Kuna dogo kamaliza form 4 japo akajifunze kwa mwez mmoja.
  7. K

    Wazoefu wa magari ya mazda demio

    Kuna mwenye uzoefu na mazda demio generation, 2 ya 2005, napenda kujua uimara wake hapa bongo na upatikanaji wa vifaa. Pia gharama zake kuitoa bandarini. Ina 1.3L, CIF $2000
Back
Top Bottom