Kurudisha pesa ulioituma kwa wakala wa MPESA kimakosa

kind2

Senior Member
Mar 6, 2016
102
45
Wakuu,

Unawezaje kurudisha pesa ulioituma kwa wakala kimakosa na wakala amekwisha itoa.

Nimewasiliana na customers care ila naona kama msaada unakua mgumu. Kwani wanasema hawawezi kuirudisha mpaka wakala awe na pesa.
 
Watairudisha punde huyo wakala atakapojaza floti yake, usisahau kuwakumbusha mara kwa mara
 
Back
Top Bottom