Search results

  1. fimboyaasali

    azam news ni zero

    Leo azam mpaka muda huu wameshinfwa kutangaza taarifa ya habari baafa ya kila taarifa wanayoitangazangaza wanashindwa kuiunganisha nayo,hawa jamaa ni hovyo kabisa pamoja na uwekezaji wao mkubwa kiasi hicho
  2. fimboyaasali

    Usiogope kuoa au kuolewa.

    Uwe ni mdada,au mkaka,uwe na mchumba na unasita kuamua,kuoa au kuolewa,sikia usisite,amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox.Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada,pia usisite kuomba kwangu ushauri,nitakuongoza vizuri sana chini ya usimamizi wa Mungu ili uoe au uolewe na utapata...
  3. fimboyaasali

    Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

    Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali. Ongea na rafiki zako...
  4. fimboyaasali

    Ewe Mwanamke, Siri ya mmeo iweke kibindoni

    Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya maana, kwamba kipato chake kidogo, na dosari zingine zozote, usizitoe nje. Kaa na mmeo, ongea nae...
  5. fimboyaasali

    Okra yupo wapi?

    Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi?
  6. fimboyaasali

    kila la kheri yanga

    Naiombea kwa Mola timu yangu yanga kesho tushinde,kila mwananchi ungana nami kusali kwa dini kesho tupate ushindi
  7. fimboyaasali

    Mwanaume, kamwe Usimuaibishe mkeo ikitokea umemfumania

    Ikatokea umemfumania mkeo, usimuabishe mkeo. Nyamaza, acha huyo mgoni wako aondoke, kaa kitako na mkeo muongee na myamalize nyie wawili na usimtangaze popote.
  8. fimboyaasali

    Azam live programu hamuwezi

    Nyinyi Azam hivi mna shida gani, kila mnapotuunga na programu mbashara, sauti huwa haitoki au inakatika katika na hii ni kila siku, kila programu itokayo kila mkoa au mji, hamuoni aibu?
  9. fimboyaasali

    Mawakala wa Mungu

    Wanandoa nyie ni mawakala wa Mungu,zaeni watoto,muwalee vizuri ili nao waje kuzaa na kuanzisha familia zao.Iki mtimize wajibu huo,acheni migogoro midogo midogo mara,mje kafanya hivi,mara mume kafanya vile,hiyo ni akili ndogo.Maisha yenu ni yenu nyie 2 tu,hakuna haja ya kushirikisha...
  10. fimboyaasali

    Simba ni kubwa kuliko Kibu

    Kibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
  11. fimboyaasali

    Ndoa ni amri ya Mungu

    Ni maamrisho ya Mungu,ni lazima muoane,msidanganywe na hadaa za walimwengu
  12. fimboyaasali

    Live coverage Azam ni mbaya

    Ukiacha matangazo ya mpira,matangazo mbashara ya taarifa za habari,ama adhuhuri au alaasiri ni mbaya sana,picha mbaya sauti mbaya,hebu tafuteni ufumbuzi wa hili
  13. fimboyaasali

    Kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi

    Jana tumeona kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi na Gamondi, ni mtu wa kukaba kwa macho tu.
  14. fimboyaasali

    Master Gamondi

    i pray that you mobilize the players to control their emotions and play a very disciplined game
  15. fimboyaasali

    Naomba picha za Maendeleo ya ujenzi wa Uwanja Ndege Msalato

    Kama kuna mdau ana taarifa na picha juu ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa msalato dodoma, aweke hapa. Natanguliza shukrani
  16. fimboyaasali

    Uwanja wa Geita umefikia wapi?

    Kama kuna mdau hunu ana taarifa kuhusu ule uwanja wa Geita unaojengwa umefikia wapi?
  17. fimboyaasali

    Julio akaa pembeni Singida Fountain Gate mpaka atakapopewa mkataba

    Hayupo na hatakuwepo kwenye mechi baina ya singida foutain gate na yanga,kisa? malipo maana boss wa timu hayupo,yupo nje ya nchi. --- Baada ya kuiongoza Singida Fountain Gate FC kwenye michezo miwili, Kocha Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ameondoka kwenye kikosi hicho ambacho maskani yake kwa sasa ni...
  18. fimboyaasali

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
  19. fimboyaasali

    mwanamke:kumbe muhimu kwa mwanaume

    awe mwanamke popote ulipo kaa ufurahi kuzaliwa mwanamke.wewe ni kiumbe muhimu sana kwa mwanaume,umbo lako,sura yako,sauti yako vyote ni alama ya urembo na umuhimu wako.jitunze,jilinde na jiweke tayari kukutana na mwanaume muoane na muanze kujenga familia
  20. fimboyaasali

    Wanawake na Wanaume msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo

    Msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo sana,pia msiogope changamoto za maisha ya ndoa,hizo zipo tu. Kwenu ambao hamjaoa au kuolewa, fanyeni juhudi muoane na mimi nipo kuwasaidia mkamilishe sakramenti muhimu ya ndoa.
Back
Top Bottom