Simba ni kubwa kuliko Kibu

Kibu hana kipya... Ila kwakuwa mpira wa Simba na yanga ni kukomoana.... Basi namuomba Rais wetu afanye kweli 😅😅😅. Aje akae hata benchi tutamtumia kwenye mechi zenye uhitaji wa mikimbio na nguvu.
 
Kuna ukubwa wa Simba na maslahi binafsi......
Acha aangalie pesa,,unataka aje kuwa kama Haruna Moshi 'Bobani'???
ni sawa aende nachosema awaambie waziwazi sio kuwazungusha,mara niitieni kaka yangu,wakimleta anadai apewe pesa zaidi,wakimpa anakataa,hio sio sawa awajibu kuwa hatasaini kama hataki
 
kibu anaidengulia simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana,kibu aelewe simba ni kubwa kuliko yeye
Nadhani ni muda sahihi wa yeye kupata pesa nzuri, huwa tunawachukulia poa sana wachezaji wetu wazawa kwenye maslahi na kuwapa pesa nyingi hawa wakigeni, as long as anafika mazoezini anacheza mechi basi acha awatikise kidogo ili wamboreshee maslahi yake, football ni kazi ya muda mfupi sana
 
kibu anaidengulia simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana,kibu aelewe simba ni kubwa kuliko yeye
Kwanini huna mnakuwa na mambo ya kipuuzi sana mashabiki wa soka Tz?!! Mpira ni maisha na sio sifa, yaani aache kutafuta kwenye mafao mazuri eti abaki simba tu?!! Acheni hizo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom