Search results

  1. johnsonmgaya

    Kuhusu tozo ya kodi kwenye umeme kuna swali tunalisahau

    Habarini wandugu, Nimekaa nimewaza kuhusu haya makanganyiko yanayoendelea kuhusu hii kodi mpya, Wengi tumejikita kuuliza kuhusu wapangaji kumlipia mwenye Nyumba basi. Binafsi naona kuna shida au uonevu sehemu nyingine ambayo tunaisahau kuiulizia. Nyumba nyingi za pembezoni mwa mijini nina...
  2. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Nipo zangu feri kwenye kivuko cha Magogoni narudi nyumbani saa 7 mchana huu. Kichwa hakiko Sawa maana “mchongo” niliofata town umebuma hivyo nikajiwazia zangu heri nirudi mapema nikacheze na watoto wangu tu atleast. Mar pah macho yangu yanavutwa kutazama kundi la wauza madafu wengi wakiwa...
  3. johnsonmgaya

    Brazil pia kuna Mlima Kilimanjaro!

    Habarini wana jamvi, habarini za siku nyingi. Jioni ya leo nilikuwa nafatilia vipindi kadhaa kwenye televisheni baada ya kurudi kazini mapema, hakuna mipira (hata mfuko pia hauko vizuri) [emoji23] Station ya "Discovery family" (channel yangu pendwa baada ya super-sport) kuna kipindi kimoja...
  4. johnsonmgaya

    Gharama za Saadani National Park

    Habari wana jukwaa, Nina mpango Easter (Pasaka) hii nitembelee mbuga ya Saadani National Park. Naomba nijue gharama kwa wahusika kwa member yeyote wa humu aliyewahi kwenda kiingilio, chakula, malazi na usafiri. Kama wanaruhusu gari private nina gari hizi nisaidieni ambayo inaweza kubaliwa...
  5. johnsonmgaya

    Wimbo mpya wa Qboy msafi ni dongo kwa Diamond?

    video nimeiona leo nahisi inaitwa #unaanzaje nimejaribu kutafuta YouTube sijauona nahisi hawajauplod bado wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. johnsonmgaya

    Beach oyeeee!!!

  7. johnsonmgaya

    Je, Ruge/Clouds walikuwa katika list ya wauza madawa?

    Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu, Kutokana na maelezo ya mkuu wa mkoa Leo katika kipindi cha MBIVU NA MBICHI Rc wetu huo (jina mnalijua) amekiri kuwa hawa jamaa au pale ndani palikuwa ndo nyumbani kwake, Alikuwa anauwezo wa kugombana na watu huko nje akaja akakimbilia hapo mama...
  8. johnsonmgaya

    BUNGE QUEENS ★★★

    Credit: Hmdee twitter
  9. johnsonmgaya

    Mtag mwenye mikono yake!

  10. johnsonmgaya

    picha ya siku

  11. johnsonmgaya

    umoja ni nguvu

  12. johnsonmgaya

    Je, nifanye ubatizo na ubarikio kanisani kwangu (Anglican ) au huko kanisani kwao?

    Habari za asubuhi wapendwa, Poleni na mvua na majukumu ya leo Natumai mpo salama kabisa, Poleni kwa watakaosombwa na maji siku ya leo. Naomba nilete mada mezani kama ifuatavyo: Mimi ni muanglikana siwezi sema ni safi moja kwa moja maana siendi kanisani mara kwa mara ila naamini katika...
  13. johnsonmgaya

    Viwanja 10 kupigwa mnada kwa kutolipiwa kodi

    SERIKALI imewataka wamiliki wa ardhi kuhakikisha wanalipia kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka kunyang’anywa umiliki wa ardhi zao. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mboza Lwandiko, wakati akizungumza na waandishi...
  14. johnsonmgaya

    Chumba cha kaburi alimozikwa Yesu chafukuliwa tena

    Chumba kidogo kinachofunika kaburi ambako inaaminika Yesu Kristo alizikwa kimefunguliwa rasmi tena baada ya kufanyiwa ukarabati kwa miezi tisa. Chumba hicho ambacho kinapatikana katika Kanisa la Kaburi la Yesu Kristo katika maeneo ya mji wa zamani wa Jerusalem kilikuwa kimekuwa dhaifu sana...
  15. johnsonmgaya

    Hatimaye picha ya Soudy Brown yapatikana

    Asante bibie mange kwa kutatua fumbo hili ni ukweli uliodhahiri kabisa kwamba asilimia 80 ya watanzania walikuwa hawamjui huyu jamaa wakiongozwa na mm ila kwa utashi wako mangekimambi hii issue umeimaliza tunasubiri maelezo kumuhusu huyu jamaa,
  16. johnsonmgaya

    Bangi yatumika kuendesha ibada Dar,

    Wakati serikali ikiimarisha mapambano dhidi ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya, Watu wenye imani za kirastari, ambao hutumia bangi katika ibada zao kama sakramenti, wamesema aina hiyo ya kilevi si mihadarati. "Bangi ni sakramenti kwa Rastafari, kama diavi katika makanisa ya kikristo...
  17. johnsonmgaya

    Jengo la Waterfront lawaka moto, juhudi za kuuzima zinaendelea

    Jengo la Water front pembezoni mwa bandari ya Dar inawaka moto muda huu ikumbukwe ni mara ya pili hili jengo kupatwa na ajali hii. Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani jijini Dar es Salaam limefunga kwa muda barabara ya Sokoine kufuatia jengo la Water Front kuwaka moto. Wamefanya ili...
  18. johnsonmgaya

    Michelle Obama's Dress Will Tell You Exactly Where She's Going

    kumbe hadi wazungu pia wana majungu? source.YAHOO
  19. johnsonmgaya

    Tanzania ndani ya Hollywood

    Hatimae kile tukichokuwa tunakitamani kama taifa kitokee now kimetimia ni furaha kwa taifa zima, series inaitwa SIX ni drama ya mwaka huu ndo kwanza imetoka mwaka huu episode ya kwanza, kwa kumbukumbu yangu hii itakuwa ya pili japo ile THE A-TEAM waliongea kiswahili tu then jamaa...
  20. johnsonmgaya

    Raha ya daladala ndo hii

Back
Top Bottom