Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati"....
Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR.
Je, kama taifa, tuko tayari kwa sasa kuruhusu watu binafsi kumiliki treni ambazo zitatumia reli ya...
Hapo mwanzo niliona mtu mwenye cheo aketiye barazani, aliyeamuru nani aongee na nani aketi chini. Nikaambiwa mtu huyu hatendi kama ilivyopaswa. Nikapewa ujumbe nimuonye mtu huyu kabla ya anguko lake, naye hakunisikia akajiendea na shauri lake. Baada ya miaka mitatu ya utawala wake, na baada ya...
Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
Nafahamu sasa kuwa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kimataifa na Kikanda iliyokuwa na jina refu bila sababu sasa imerejeshewa jina lake kuwa "Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki."
Pia sasa tuna "Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia" badala ya...
Kuna mtu aliwahi kuweka uzi humu akidai kuwa CHADEMA haiwasaidii wanachama wake wenye kesi za uchaguzi (wabunge na madiwani). Nilitaka kuamini kuwa uzi ule haukuwa sahihi.
Leo nimeshtuka kusikia kuwa Joseph Fuime aliyemshtaki Leonidas Gama (Songea) kupinga matokeo ya ubunge akilalamika kuwa...
Naamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?
Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya...
Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya uamuzi wa “sijui Bunge au Serikali” kutoruhusu urushaji wa moja kwa moja wa matangazo ya televisheni ya mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma. Wengi wamelaani na wachache wameunga mkono hatua hiyo, kila upande ukiwa na sababu zake.
Kadhalika, kumekuwa na...
Waziri Mkuu na mbao za madawati: Tusije ongeza fursa za rushwa
Katika hotuba yake ya bajeti, Waziri Mkuu ameagiza kuwa kuanzia sasa mbao zinazokamatwa (vijijini/na halmashauri/maliasili) zisiuzwe bali zitumike kutengeneza madawati mara moja.
Nimepata maswali kadhaa juu ya mapendekezo haya na...
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka jana, aliyekuwa mgombea wa CCM ambaye kwa sasa ni rais, John Pombe Magufuli aliwahi kutamka kuwa kuna watumishi wa TANESCO kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme ambao hufanya njama kufungulia maji yatoke bwawani na hivyo kufanya mabwawa yasiwe na kina...
Kwa majuma kadhaa gazeti la Jamhuri, Wanaanzia Wengine Wanapoishia, limekuwa likiripoti habari juu ya tuhuma za Kampuni ya Bia Tanzania, TBL, kufanya udanganyifu kwa lengo la kukwepa kodi. Sijabahatika kupata nakala hata moja ya gazeti hilo, na niombe kwa mwenye uwezo, hususan Manyerere Jackton...
Wana JF,
Kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye uwezo wa kuweka hapa jamvini hotuba yote ya Rais JPM wakati akizindua daraja la "Nyerere" Kigamboni afanye hivyo...
Wakatabahu...
Hivi karibuni majeshi yetu kule DRC, chini ya mwavuli wa UM, yalianza rasmi, kwa mara ya pili, mapambano dhidi ya kikundi cha ADF. Mashambulizi hayo yameanza siku chache baada ya tarehe 23 Machi, ambayo ni tarehe lile kundi la M23 lilianzishwa. Hata hivyo, M23 walisambaratishwa miezi kadhaa...
Wengi tunakubaliana kuwa Dar inakabiliwa na changamoto nyingi za mji. Ukosefu wa huduma na miundombinu muhimu ya taka ngumu na maji taka; usafiri; bustani na viwanja vya michezo; ujenzi holela; ukosefu wa maeneo ya makaburi na changamoto nyingine kadha wa kadha.
Baadhi yetu tunaunga mkono...
Kwa mara nyingine rais mstaafu JK amekutana na rais JPM ikulu jijini leo.
Hints:
Mgogoro wa Zanzibar
Majipu makubwa (kutaka ufafanuzi wa masuala tete na majipu tete)
Uenyekiti wa CCM
Ukiangalia kwa juu juu unaweza ukadhani kama taifa tuko sawa. Wengine wanaona ndiyo uhuru na demokrasia. Mimi naona tunaelekea kubaya kama hatujafika pabaya!
Taratibu tunaanza kuwa taifa la watu wanaoshabikia vurugu. Watu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga barabara na kuharibu mali za...
Ninashauri Waziri mwenye dhamana na TPA (Prof Mbarawa) atakapoteua Bodi ya TPA basi asimsahau Bw Renatus Mkinga, kwani ndugu huyu ana uelewa mkubwa juu ya shughuli za bandari na huwa hamung'unyi maneno inapokuja suala la kutetea taifa.
Jana (16 Januari 2016) nilibahatika kutazama kipindi cha "Jicho Ndani ya Habari" kinachorushwa na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Kama ada kipindi kiliendeshwa na Doto Bulendu, akiwa na wageni/wachambuzi Mathew Moses na Juma Mdimi ambao ni waandishi wa habari.
Kama ilivyo kawaida, kipindi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.