JK akutana na JPM Ikulu

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Sep 11, 2006
702
213
Kwa mara nyingine rais mstaafu JK amekutana na rais JPM ikulu jijini leo.

Hints:
Mgogoro wa Zanzibar
Majipu makubwa (kutaka ufafanuzi wa masuala tete na majipu tete)
Uenyekiti wa CCM
 
Kwa mara nyingine rais mstaafu JK amekutana na rais JPM ikulu jijini leo.

Hints:
Mgogoro wa Zanzibar
Majipu makubwa (kutaka ufafanuzi wa masuala tete na majipu tete)
Uenyekiti wa CCM
Mpuuzi huyu, Aliyeacha Kila Ugoro uliopo sasa, au Ukitaka Uyaite Majipu, Yeye na Mkapa waombe sana Kwa mashetani wao maana siamini wanafiki hawa wanamwogopa Mungu, Kwanza wanajifanya wao Ni Miungu Literally, Sasa nasema waombe sana Kwa Mashetani yao Kisinuke Zanzibar maana wataishia ICC maaisha yao yaliobakia. I can't Imagine Kikwete in one cell with Bosco Ntaganda or Bizimungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom