Search results

  1. N

    Marekebisho ya sheria ya Loan Board hayalengi kumaliza tatizo la ukusanyaji wa madeni

    Wanajamii, Nimeona marekebisho yanayotaka kufanywa kwenye sheria ya loan Board. Kwa maoni yangu marekebisho haya hayana nia ya kuwasaidia wanafunzi kama ilivyokusudiwa toka awali. Kwa mfano kipengele kinachopendekezwa kinachosema kuwa mnufaika ataanza kulipa deni lake mara atakapomaliza au...
  2. N

    Tuachane na misaada yenye masharti toka kwa wazungu au!

    Wana JF, Baada ya wazungu kufanikiwa kuingiza suala la 50 kwa 50 kwa wanawake na wanaume katika ngazi za maamuzi, sasa huenda likafuata suala lingine ambalo kiafrika hatujalielewaelewa. Kama tukiendelea na tabia hii ya kuwasikiliza wazungu, kuna siku watatuambia ili watusaidie inabidi nafasi...
  3. N

    Swali la Kichokozi: Je, Harambee makanisani zimefika ukingoni au zitaendelea?

    Wana JF. Kwa muda mrefu, mgombea mmoja ambaye jina lake halikufika hata kwenye tano bora amekuwa akifanya harambee makanisani na misikitini na kutoa michango mikubwa mikubwa. Amekuwa akitoa michango hiyo huku akidai kuwa anachangiwa na marafiki zake. Swali langu ni je, mtanzania huyu na...
  4. N

    Mwandishi wa Makala hii anaudanganya umma!

    Gazeti la mwananchi kuna habari inayosema, "Kibano cha wagombea urais CCM hiki hapa" Habari hii inapatikana, "http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/2753526/-/rk5y3oz/-/index.html". Pamoja na mambo mengine mwandishi anaandika, "Makada hao wawili waliihama CCM wakati wa uchaguzi...
  5. N

    Hii ni dalili kuwa watanzania wameanza kubeba gharama za ESCROW?

    Wanajamvi, Katika hotuba ya bajeti ya mwaka 2015/16, waziri wa fedha amesema kuwa serikali imerekebisha sheria mbili zinazosimamia mafuta ya petrol. (G) Sheria ya Mafuta ya Petroli, SURA 392 ambapo kwa kila lita ya petrol na diesel, imeongezwa shilling 50 na shilingi 100 kwa kila lita ya...
  6. N

    Kipi kinaanza, Maisha bora kwa kila mtanzania, tumaini lililorejea au safari yenye matumaini?

    Wana Jamvi, Mimi ninaamini kuwa ilitakiwa kuanza safari ya matumaini. Safari ikikolea au ikifika mwisho tunapata tumaini lililorejea. Tumaini likisharejea, kila mtanzania anaishi maisha bora. Mimi hapa nimechanganyikiwa kutokana hizi slogans zinazosemwa na kundi hili la wanamtandao...
  7. N

    Laiti waandishi wa habari wangetumia nguvu kubwa kulalamikia huu muswada kama wanavyoshaabikia

    Huu mswada sasa umepita wakati waandishi wa habari wakiwa busy na ziara za Kinana na wengine wakiwa busy kusubiri wanaokuja kumshawishi mgombea. Laiti wangetumia muda wao na nguvu na makala zao kuwaasa wabunge kuhusu ubovu wa mswada huu, huenda wabunge wangeelewa. =================== Chanzo...
  8. N

    Mheshimiwa Msigwa, Tuambie kwa nini ulikaa kimya wakati serikali inapoteza mapato?

    Kwenye wall ya Peter Msigwa kule face book kuna haya maneno, "Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua kinachoendelea NSSF. PAC kwa sababu wanazojua wao wamefumba macho." Siamini kama ni kauli ya Mchungaji Peter Msigwa, waziri kivuli wa Maliasili na utalii. Kama kweli ni yeye naweza kuona...
  9. N

    Pale Mlinzi wa Raia na mali zao anapoporwa mali zake!

    Wanajamvi, Nimekuwa nikishangazwa na kushtushwa na jinsi jeshi letu la polisi linavyofanya kazi. Tumesikia saana wakuu wa jeshi hilo wakionya kuhusu kutokea vurugu mara kunapokuwa na mikutano au maandamano ya vyama vya siasa haswa vya upinzani. La kushangaza utawasikia wakizuia maandamano...
  10. N

    Chenge anasimamia maadili gani ndani ya CCM?

    Wana JF, Nimesikia kuwa Ndg. Andrew Chenge ndiye mwenyekiti wa kamati ya maadili ya CCM. Ni kweli? Kama jibi ni kweli ninajiuliza inakuwaje mtu anayepatikana na tuhuma za kuwa nafedha zilizopatikana kwa njia zisizoeleweka anakuwa anasimamia maadili. Anasimamia maadili gani? Je, maadili ya...
  11. N

    Huu ndo mchango wa wanawake kwenye uvunjifu wa amani

    Kuna msemo au imani iliyopo katika jamii kuwa "Kunapotokea kutokuelewana kukawepo na uvunjifu wa amani, wanaoumia ni wanawake na watoto". Ni kweli si kweli? Wanaozomea sana kwenye BMK, ni wanawake, Kweli si kweli? Sana naomba tubadili tuwe tunasema kuwa wanaoteseka bila sababu ni watoto. Maaana...
  12. N

    Zama za kudanganyana zimeisha!

    Tuliobahatika kwenda sekondari miaka ya sabini na themanini tuliweza kujipatia manufaa kwa sababu ya kutokuwepo kwa wasomi vijijini. Ilikuwa ni rahisi kumwambia mzazi kuwa nivunja ganglion ya shule na bei yake ni shilingi elfu mbili akaamini. Asipoamini alikuwa anaenda kwa mwalimu mjanja hapo...
  13. N

    Zitto Anataka kusema nini?

    Wana JF, Katika ukrasa wake wa facebook zito kaandika haya, Sijui anataka kumaliziaje! Hapo kwenye unyerere sijamuelewa anamaanisha Nyerere Msanii au marehemu Julius Nyerere? Unyerere wa vitendo ni pamoja na kuachia ngazi zote alizo nazo ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa PAC, ambapo...
  14. N

    Kama Serikali tatu ni chungu, tujaribu muundo unaoruhusu zamu za kutawaliwa!

    Wana JF, Kwa muda wa miaka 50 ya muungano, wazanzibari wamekuwa wakilalamika kuwa serikali ya Tanganyika inatawala Zanzibar ikiwa imevaa koti la muungano. Watanganyika nao walalamika kubeba mzigo wa Muungano na Wazanzibari kuhiriki na pia kushika madaraka katika mambo yasiyokuwa ya muungano...
  15. N

    Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni

    wanajukwaa, Baadhi ya maaskofu na mashehe waliomo ndani ya bunge la katiba tunawajua msimamo yao. Mfano Sheikh Jongo alijifanya kulia ati Ukawa wametukana. Juma Salum tulimsikia. Askofu mtetemela ndo aliamua kuhukumu kabisa. Je, Sitta atatumia wengine au ni hao hao watatumika? Hao maaskofu kama...
  16. N

    Ni lini msimamo huu wa Kanisa Katoliki umebadilika?

    Wana JF, Kwa mujibu wa vyombo vya habari leo, kanisa katoliki kupitia kwa makamu wa rais wa baraza la maaskofu wa kanisa hilo limewataka ukawa warudi bungeni bila masharti yeyote. Mojawapo ya masharti yaliyowekwa na ukawa ni kutaka ijadiliwe rasmu ya tume ya Warioba na si rasimu nyingine...
  17. N

    Ukristo hautalindwa na Serikali 2 wala 3 bali utalindwa kwa Nguvu za MUNGU mwenyewe

    Wana JF. “Iko wapi Imani ile ya zamani ile ya kwanza ya mitume imepotea kwa watu wa MunguIko wapi ile imani ya kwanza, japo ni ndogo itafanya mengiiii, ………………………………..”. Huu ni wimbo niliusikia zamani ukiimbwa na Kwaya kuu CCT Mlimani (UDSM) miaka ya nyuma kidogo na ninaamini mpaka leo...
  18. N

    Kero za muungano zinaongezeka. Majimbo Z'bar yanawakilishwa na watu wawili bunge la katiba

    Wana JF, Kila kukicha tunaaminishwa kuwa Serikali mbili ndiyo muafaka wa muungano na kero zake zinaweza kushughulikiwa. Ila mimi naona kila kukicha kero hizo zinaongezeka. Kwenye bunge la katiba Majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar yanawakilishwa na watu wawili wawili. Watanganyika wengi wanayaona...
  19. N

    Mbona hii kesi ya Mwangosi inakuwa kama ya kisiasa, Au gazeti hili linapotosha?

    Dar es Salaam na Iringa. Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, marehemu Daudi Mwangosi inayomkabili aliyekuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mwenye namba G. 2573 Pacificus Cleophase jana ilianza kusikilizwa kwa mara ya kwanza katika...
  20. N

    CCM hawana jipya zaidi ya kuwaza rais ajaye!!!!

    Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2005, kila kukicha tunasikia CCM wakiongelea ni nani atakayemrithi Kikwete. Kambi nyingi zimetajwa na baadhi ya wanaCCM wameshajipambanua wako kambi ipi. Hata hivyo wakati wakihangaika kumpata mrithi wa Kikwete, Nchi wananchi wengi wanazidi kuwa maskini, majangili...
Back
Top Bottom