Swali la Kichokozi: Je, Harambee makanisani zimefika ukingoni au zitaendelea?

Njaare

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
1,081
275
Wana JF.

Kwa muda mrefu, mgombea mmoja ambaye jina lake halikufika hata kwenye tano bora amekuwa akifanya harambee makanisani na misikitini na kutoa michango mikubwa mikubwa. Amekuwa akitoa michango hiyo huku akidai kuwa anachangiwa na marafiki zake.

Swali langu ni je, mtanzania huyu na marafiki zake wenye moyo wa kuchangia katika nyumba za ibada wataendelea na moyo huo huo au ndo mission imeisha?
 
hahahaaaaa... Watu kwa uchokozi, hivi mnataka mzee wa watu akimbilie wapi?

Kila kona mzee anasakamwa naona mpaka sasa anajuta kutangaza nia kwa mbwembwe..

Lakn tusilaumu Mungu alimchanganya akili alitaka watz wale kidogo hela yake aliyokuwa anawaibia
 
Kwisha kwa safari ya matumaini,kwisha kwa mafweza kanisani na misikitini,hivi vitu viko direct proportional.
 
Hahahaaaaaaa!

Mimi nataka kujenga kanisa langu naomba aje kunichangishia
 
Wana JF.

Kwa muda mrefu, mgombea mmoja ambaye jina lake halikufika hata kwenye tano bora amekuwa akifanya harambee makanisani na misikitini na kutoa michango mikubwa mikubwa. Amekuwa akitoa michango hiyo huku akidai kuwa anachangiwa na marafiki zake.

Swali langu ni je, mtanzania huyu na marafiki zake wenye moyo wa kuchangia katika nyumba za ibada wataendelea na moyo huo huo au ndo mission imeisha?

Je miskitini harambe zitaendelea?
 
hahahaaaaa... Watu kwa uchokozi, hivi mnataka mzee wa watu akimbilie wapi?

Kila kona mzee anasakamwa naona mpaka sasa anajuta kutangaza nia kwa mbwembwe..

Lakn tusilaumu Mungu alimchanganya akili alitaka watz wale kidogo hela yake aliyokuwa anawaibia

ha ha ha umenifurahisha sana.Kwa hiyo Mungu aliweka mpango wa kuturejeshea pesa zetu?
 
Hahahahahahaaa... Ngoja tuone kauli ya kutoa ni Moyo kama itaendelea au ilikuwa ni Zuga la Safari ya Matamanio...
 
daaaah swali la kichokozi sana hili, nadhani ndio mwisho maana hata machalii zake wa boda boda wamemsusa
 
Kutoka safari ya Matamanio hadi safari ya Monduli namshauri Don King sasa apumzike ale hela zake zilizobaki.
 
Huo mrija nadhani umekatika kabisa hata akialikwa sasa anaweza kuchangia 10000 tu
 
Kutoka safari ya Matamanio hadi safari ya Monduli namshauri Don King sasa apumzike ale hela zake zilizobaki.

Sijui kama zake bado zipo maana zimetumika sana huku akutarajia angezirudisha baada ya kupata urais.
 
Back
Top Bottom