K.K.K.T. au Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) ni kanisa linalojua linachokifanya. Halipelekwi pelekwi na Mrengo wa kisiasa wala halina njaa ya chakula. Linasimamia kweli ya neno la Mungu katika jina la Yesu Kristo aliye hai. Lina Dira na malengo yake. Kama unaijua Lugha soma hapa...
Na Mara nyingi matokeo ya kusema ukweli huwa hayafurahishi. Soma kisa hiki cha Yohana Mbatizaji kama ilivyoandika katika Injili ya Mathayo 14: 1-11 , "14 Wakati huo, mfalme Herode alisikia habari za Yesu; 2 akawaam bia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji, amefufuka kutoka kwa wafu; ndio...
Ni wajibu wa Serikali kutunza Siri zake. Je, Zitto au Lissu wana usiri gani na Serikali? Je, Ukiona siri za serikali zimefikia vyama vya upinzani ujie hilo jambo sii siri tena.
Ilitakiwa TCU itoe masharti ya udahili. Yenyewe ndiyo inasimamia ubora. Imeamua kukaa kimya ili udahili huu unaoanza kufanyika sasa ulete usumbufu ili warudishiwe.
TCU ilifanya vizuri sana kuharmonise. Ilipunguza kwa kiasi kikubwa application fees ambayo ninaona sasa mwanafunzi atatumia mpaka laki 3 kufanya application. Hata hivyo TCU kama chombo cha usimamizi kinachofanya monitoring and Evaluation ya vyuo, haikutakiwa kufanya hii kazi. Maana kuna vyuo...
Kwa nini atafutiwe? Kama huyo mtu anatafutiwa chuo basi hatavuka mwaka wa kwanza. Anaonekana ni immature na mentally incapable. Unatafutiwa chuo? Rushwa zingine tunaziombea wenyewe.
Ha ha haaa! Singo aliyotoa Nape leo haitazimwa na visingosingo vya kawaida. Imehit Mbayaaaaaaa! Itazimwa tu na Singo itakayomtumbua Bashite. Hizo nyingine tumeshazizoea na wala hazichezeki.
Ha ha haaaa! Wanaume wa Dar es Salaam walikuwa wanaponda raha kwa mahela ya kuchota serikalini. Sasa hiyo fursa haipo tena. Hivyo wako tayari sasa kulinda walicho nacho.
Wanajamii,
Nimeona marekebisho yanayotaka kufanywa kwenye sheria ya loan Board. Kwa maoni yangu marekebisho haya hayana nia ya kuwasaidia wanafunzi kama ilivyokusudiwa toka awali. Kwa mfano kipengele kinachopendekezwa kinachosema kuwa mnufaika ataanza kulipa deni lake mara atakapomaliza au...
Tatizo la wizara ya Elimu na serikali kwa ujumla ni kuendelea kuwatumia watendaji waliosababisha tatizo ili kulitatua. Hawa Loan board wanataka kumuhakikishia waziri kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa sahihi na kuwa ni vigumu kudhibiti wanafunzi hewa. Ndiyo maana kila agizo serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.