Na ndio maana nataka kujua!
Nenda kwanza ukawahakiki wale waliookota vichwa vya treni tulivyolipia, halafu wanataka tuvinunue tena!Ni lazima tujue na kuhakikisha pesa imetumika kwa matumizi yale yale!
Mimi ni mtanzania!
Ndo anapona ivo shauri yako,wewe endelea kudai resiti,sijui za bomba- dear ulizidai!yaani hata kama kusoma hawajui hata picha hawaioni!
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Don't put your nose on people business, GOD give you two ear's and one mouth, then talk less and listen more, so keep your self out! Our sweetness to our beloved one's is not our weakness to you!Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Richmond mnae huko!Kwani Tanzania ilitoa hela? Kalalamikie hela za Tanzania zinazolipwa kwa makampuni ya kufua umeme!
Hakuna anaetaka afe lakini mwezi na siku kumi mil 400 haingii akilini!Kina kuuma nn ..pesa zako??.....au za babako....mlitaka afe na hajafa...
Jipime mkuu,isije ikawa albadir inafanya kazi yake.Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Ulikuwepo wakati ikisomwa!Jipime mkuu,isije ikawa albadir inafanya kazi yake.
Nimekua Mara nyingi nasema na nitaendelea kusema, Chadema ni genge la wahuni mithili ya mafia wa Italy waliojificha kwenye siasa na democracy ni, wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma grade oneWahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
hiyo hospitali hata milioni 1 haifiki Mbowe fisadi sana
Wewe ni Zuzu!Siku hizi Magu kabana watu.Ndio maana hatusikii yale mambo ya operation Sangara wala M4C.
Kwahiyo chama kinatakiwa kutumia matukio kama la kushambuliwa kwa lisu kujiinua kisiasa na kiuchumi.