Search results

  1. Escrowseal1

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    Kaa kule kichwa boga wewe huwezi elewa . Abstract concept kwako
  2. Escrowseal1

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Mlangoni mtakutana na ma baunsa wa fisiemu kuizuia isiingie makumbusho
  3. Escrowseal1

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    We ni kenge kama kenge wengine. Kaangalie za covid mlivyogawana katibu sawa kwa sawa watu milion 60 na kizimkazi.
  4. Escrowseal1

    Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Katika tawala zilizofail hii ya hiu bibi imeangukia pua
  5. Escrowseal1

    Bunge la bajeti 2024 limesusiwa na kudorora balaa!

    Mleta mada shikamoo. Its 100% true . Mi nikiwaona nahsi kichefuchefu najaribu kulinganisha na zamani nimelichukia kutoka rohoni.limebaki na kina mwashambya
  6. Escrowseal1

    Nakipongeza kikosi Maalum cha CHADEMA kwa kufanikiwa kuteka mijadala yote ya Nchi

    Karibu clubhouse majasusi yalikolala ndani ya sauti ya watanzania. Uzalendo mtupu
  7. Escrowseal1

    Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Chadema ni paka na panya

    Lissu ni Tanzanite ya nji
  8. Escrowseal1

    Nape Nnauye hustahili kumpiga mkwara Lissu wewe ndiye kinara wa kutukana viongozi tena ndani ya Chama chako umemtukana sana Hayati Magufuli

    Nape in short alitakiwa kuwa anapambana na korosho kwa kariba yake. Kwanza hana guts za kumface Mange angemvua bukta hadharani. Pili amemtukana sana Mwamba Magu , Tatu hana kifua cha kumface Antipus kwani huyu kwa sasa ni global figure . na bado kamwita barozi polepole kiroboto ati hiyu nae...
  9. Escrowseal1

    Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

    Mwambie huku kwetu mawaziri wanaburuta matumbo kama marobota hawana mpango na baiskeli .
  10. Escrowseal1

    Rais Samia na Familia yake Wachangia Milioni 100 Ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Karoli jimbo kuu la katoliki Arusha

    Akitoa milioni 100 mshahara tunaomlipa wa miezi 10 baada ya hapo anaishije . Huu udwanzi uko africa tuuu bara la giza tororo pfuuuu
  11. Escrowseal1

    Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

    Weka picha yako ukiwa unakunywa dafu
  12. Escrowseal1

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Hata wangetwist wakasema ugly vs beautiful /handsome chuma kitapindua meza dadeki
  13. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Sikiliza clip kabla yankuropoka. Esta hakukalizia hapo bali aliishauri serikali kuweka mpango mzuri wa ardhi . Wananchi wapangwe ili jifadhi iwe hifadhi na malisho yawe malisho . Tumefikishwa japa na watu kama wewe mnao comment kutafuta teuzi . Mtu kama wewe unamaliza oxygen bure
  14. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  15. Escrowseal1

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Hii ndo inaifanya CCM iwe CCM . Ndo utamaduni . Babu mwizi mpaka kitukuu yaani ukoo wa panya . As a Nation we are f****d up. Inatia hasira
  16. Escrowseal1

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kutumia magari kunapunguza kufanya mazoezi .ni moja ya mambo yanayopelekea haya matatizo ya moyo
Back
Top Bottom