Search results

  1. GadoTz

    Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha. Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi. Vigezo: Awe na umri usiozidi miaka 34. Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
  2. GadoTz

    Mwaka 2018 ulikuwa wa Harmonize, 2019 utakuwa wa Mbosso na Marioo

    Mwaka 2018 ndio unaishia hivyo na kwenye kiwanda cha burudani haswa bongofleva tumeshuudia mengi yakukumbukwa. Kikubwa zaidi ni msanii Harmonize kufanya maajabu na singo yake KwaNgwaru, hakuna atakaebisha Kwangwaru imekuwa ni wimbo bora kabisa kwa Tanzania na East Africa na Harmonize amegeuka...
  3. GadoTz

    Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

    Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band. Kwa sasa ametoka kupitia WCB. Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na inasemekana ni moja ya sababu kundi kuvunjika ni hivi vipaji viwili. Kwa kutazama muono wa mbali...
  4. GadoTz

    Wasanii wa bongofleva mmeishiwa pumzi?

    Nina muda mrefu sana sijasikia wimbo ukanisisimua toka kwenu wasanii wa bongofleva. Nyimbo karibu zote za sasa naishia kuzipenda baada ya kuzizoea zikishapigwa mara nyingi lakini haziingii mpaka damuni. Kimewakuta nini wasanii wa bongofleva? Mmeishiwa tungo? Au ndio muziki wa biashara kama...
  5. GadoTz

    Songa ampokea kijiti rasmi Darasa

    Kama tunavyojua muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti. Muziki wa rap kwa kipindi cha mwaka na ushee umekuwa ni wa Darasa baada ya kuupokea kwa Nay wa Mitego aliyepokea nae kijiti kwa Chidi Benz. Kwa sasa ni rasmi baada ya ujio mpya wa Darasa na ujio mpya wa Songa, ni kwamba kijiti cha...
  6. GadoTz

    Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

    Msanii machachari anaekuja juu, Hamorapa leo alijitokeza uwanja wa ndege kumpokea Kiba akirejea toka kwenye ziara yake ya South Africa. =========== Video
  7. GadoTz

    Wasanii wetu na mtego wa tuzo za kimataifa

    Naomba wakati tunakaribisha mwaka mpya 2017 tujadili kidogo hizi tuzo za kimataifa. Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wasanii wetu kuwa nominated kwenye tuzo za nchi za wenzetu katika hii miaka miwili iliyopita. Tumeona wasanii wetu wa muziki, movie na ata wanamitindo wakiwania tuzo na wengine...
  8. GadoTz

    Hakuna ubishi mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa Wasafi Wcb

    Mwaka huu 2016 ulikuwa mwaka wa wcb wasafi kwenye burudani hapa bongo. Wasafi ni kama bongofleva sasa imekuwa kama ya kwao jinsi wanavyoitawala wanavyotaka. Angalia kila ngoma walioachia kwao imekuwa ni hit, wasanii wao wameitawala industry kila angle. Kwetu - Rayvanny Natafuta kick...
  9. GadoTz

    Trap rapper wa kisukuma anakwambia dimaga lolo

    Vijana wa Nkunda all stars wakifanya trap ya kisukuma
  10. GadoTz

    Belle 9 ajibu mapigo ya Darasa na Diamond kwa kishindo

    Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa. Sasa Belle 9 ni kama kaja kujibu mapigo ya hizi ngoma mbili. Sikiiza mdundo na mapigo alafu utagundua kitu. Waliokuwa...
  11. GadoTz

    Aliyeelewa hii naomba anieleweshe

  12. GadoTz

    Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

    Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee. Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja. Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona...
  13. GadoTz

    Mikato ya pamba za hatari

    Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart kuvaa ni sanaa na damu ya mtu kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo. Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya...
  14. GadoTz

    Ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakatumia location ya Wasafi kwenye video yao?

    Tunajua wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond umetoka kitambo kidogo na video yake ilifanyikia South. Nachojiuliza ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakaamua nao wakafanyie video eneo lile lile walilofanyia kina Diamond, tena wao kina Kiba wakashoot usiku!!? Najiuliza swali la kizushi tu.
  15. GadoTz

    Bifu la Jokate na Flavian Matata linapamba moto chinichini, kisa?

    Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo mmoja kwenye social media.
  16. GadoTz

    Queen Fifi : Mtangazaji bora kabisa wa kike wa wakati huu!

    Kwenye show za radio, haswa vipindi vya kizazi kipya kumekuwa na pengo kwa watangazaji wa kike wenye uwezo na vipaji vya kipekee. Hii imekuwa kwa muda mrefu . Mtangazaji wa radio asiye kuwa na mfano Salama Jabir baada ya kutoka kwenye radio, kukawa na pengo kubwa sana kwa upande wa mabinti...
  17. GadoTz

    Naitaji Tecno C8

    Naitaji techno C8.. Bajeti yangu ni 150. Mwenye nayo njoo pm. Asante!
  18. GadoTz

    Watu weupe huenda wakanufaika zaidi na serikali ya Magufuli

    Wakati serikali ya Magufuli ikipiga marufuku uingizaji wa bidhaa za nje na kujitahidi kuweka mazingira ya kulinda bidhaa za ndani. Kuna mambo mawili makubwa yatatokea ndani ya miaka 10 ya utawala wa Magufuli. Watu weupe haswa wahindi na waarabu wataigeuza hiyo ni fursa na kuwekeza zaidi...
  19. GadoTz

    Diamond na Mafikizolo kuandika rekodi nyingine Afrika

    Collabo ya Diamond na Mafiizolo ambayo inatoka hivi aribuni mwezi huu inategemewa kumfikisha mbali zaidi Diamond. Kwa mtazamo wangu hii video na wimbo kwa ujumla itaweka rekodi mpya ya views kwenye youtube na Tvs, rotation kwenye radio za afrika na shows kubwa zaidi kuendelea kumwandama...
Back
Top Bottom