Wasanii wetu na mtego wa tuzo za kimataifa

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
350
567
Naomba wakati tunakaribisha mwaka mpya 2017 tujadili kidogo hizi tuzo za kimataifa. Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wasanii wetu kuwa nominated kwenye tuzo za nchi za wenzetu katika hii miaka miwili iliyopita.

Tumeona wasanii wetu wa muziki, movie na ata wanamitindo wakiwania tuzo na wengine kupata hizo tuzo ambazo tunaziita za kimataifa.

Mimi concern yangu ni moja tu. Hivi hizi tuzo mbona tumekuwa tunazipata kirahisi sana siku hizi.

Ukawii kusikia Harmonize ni msanii bora anaechipukia ndani ya Africa yote, au Wema Sepetu ni muigizaji bora east africa kwenye tuzo huko Uganda.

Hivi hizi tuzo uwa tunastahili au kwa kuwa zinaitaji wapiga kula ndio maana tunazibeba kirahisi?

Awa watu wanaotupa hizi tuzo kirahisi Hivi ni sababu wanaukubali muziki wetu au wanafanya kutafuta kufahamika na kutanua tuzo zao mpaka huku East Africa na wanaona Tanzania kwenye entertainment tupo vizuri hivyo ni kama wananatutumia kufanya biashara!?

Hivi mnaamini kuna msanii toka Tanzania amefanya vizuri mwaka huu kuliko Wizkid na Techno? Kama kuna wanaofanya vizuri kuliko awa mbona hatuwaoni wakipata mialiko ya kutumbuiza kama awa wanaijeria tunaochukua tuzo mbele yao? Mbona hatuoni muziki wetu ukipata rotation ya kutosha kwenye stations za radio na tv za nchi za wenzetu?

Hizi tuzo zinapeleka mbele muziki wetu au zinatudumaza? Maana tusije kudhani muziki wetu unakuwa sababu tunapata tuzo kirahisi kumbe zinatupumbaza!

Mimi binafsi naamini sana tuzo za Mama mtv na BET maana zinatoa atleast watu wanaoeleweka ila hizi tuzo zingine siziamni kabisa sijui kwa nini.

Naona sasa hivi mpaka kina Martin Kadinda nao wanapata tuzo za kudesign.

Okay ebu kama kuna mtu ana maoni tuweze kushare kuhusu huu utitiri wa tuzo.
 
Nadhan ww sio mtanzania na hufuatilii. Muziki!
 
Unafikiri nje Kuna, mbwe mbwe kama hapa kwetu. Unashangaa akina wzkid, mbona haushangai koff siku hz hapati au salif keita. Watanzania kujikubali ndio shida, sjui mfanyiwe nn
Tunaweza kudhani tunajikubali kumbe tunajidanganya. Hivi tuchukulie sisi wasanii wetu wanafanya vizuri sana kwa sasa Africa, mbona sasa atuwaoni wakiitwa kwenye shows kama wakongo au wanaija? Au hatusikii nyimbo zao zikipigwa station za nchi za wenzetu? Kuna vitu inabidi tutafakali.
 
Mkuu usishangae sana, kwa sababu nyimbo zetu nyingi ni za kuiga,kwa mfano kwa sasa wanamuziki wetu wako kinigeria sana kuanzia beat's,melody nk kifupi hatuna identity kama watz zaidi ya kudandia dandia za mataifa mengine, ndio maana hatupati mialiko ya maana zaidi ya vipaty vya kubatiza watoto ova
 
unasikiliza station zipi za nje ukakuta nyimbo zetu hazipigwi?
 
Mkuu usishangae sana, kwa sababu nyimbo zetu nyingi ni za kuiga,kwa mfano kwa sasa wanamuziki wetu wako kinigeria sana kuanzia beat's,melody nk kifupi hatuna identity kama watz zaidi ya kudandia dandia za mataifa mengine, ndio maana hatupati mialiko ya maana zaidi ya vipaty vya kubatiza watoto ova
Bin laden atapiga show kwenye ufunguzi wa kombe la mataifa ya africa, unataka mualiko gani zaid ya huo mkuu?
 
Go straight to the point acha kuzunguka mkuu na maelezo mengi
 
Tunaweza kudhani tunajikubali kumbe tunajidanganya. Hivi tuchukulie sisi wasanii wetu wanafanya vizuri sana kwa sasa Africa, mbona sasa atuwaoni wakiitwa kwenye shows kama wakongo au wanaija? Au hatusikii nyimbo zao zikipigwa station za nchi za wenzetu? Kuna vitu inabidi tutafakali.
Sema msanio wako ndo haitwi kwenye show...hujaona show za diamond..mayote..malawi..marekan..austria na canada? Au roho mbaya tu
 
Muziki wa Tanzania kwa sasa unakubalika sana Africa kuporomoka kwa muziki wa Congo (lingala) umesaidia kukua kwa muziki wa aina nyingine na Africa population imeongezeka vijana wamekuwa wengi na ndio wanasapoti huo muziki. Kufanya kolabo na wasanii wa nje (Kenya,Nigeria,South Africa) kumesaidia kuongeza fan base ya muziki wetu barani Africa kwenye upande wa movie mambo ni kinyume Kanumba pekee ndio alijitahidi lakini tangu amefariki fani nayo imekufa kabisa
 
Katika tuzo zote anayepata kihalali ni platnumz peke yake. Sababu ndo tunaona rotation ya nyimbo zake mpaka nje ya africa na anafanya show kibao africa hii. Lakini hawa wengine tuzo wanazopata ni kutokana na ulimbukeni wa watz kupenda kukesha 24/7 wanapiga kura. Tena kwa mtu ambae hastahili.
 
Unakumbuka kupiga kura kwa miss tz diana instagram, watz waliongoza kwenye kuccoment kwenye account ya diana
 
Naomba wakati tunakaribisha mwaka mpya 2017 tujadili kidogo hizi tuzo za kimataifa. Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wasanii wetu kuwa nominated kwenye tuzo za nchi za wenzetu katika hii miaka miwili iliyopita.

Tumeona wasanii wetu wa muziki, movie na ata wanamitindo wakiwania tuzo na wengine kupata hizo tuzo ambazo tunaziita za kimataifa.

Mimi concern yangu ni moja tu. Hivi hizi tuzo mbona tumekuwa tunazipata kirahisi sana siku hizi.

Ukawii kusikia Harmonize ni msanii bora anaechipukia ndani ya Africa yote, au Wema Sepetu ni muigizaji bora east africa kwenye tuzo huko Uganda.

Hivi hizi tuzo uwa tunastahili au kwa kuwa zinaitaji wapiga kula ndio maana tunazibeba kirahisi?

Awa watu wanaotupa hizi tuzo kirahisi Hivi ni sababu wanaukubali muziki wetu au wanafanya kutafuta kufahamika na kutanua tuzo zao mpaka huku East Africa na wanaona Tanzania kwenye entertainment tupo vizuri hivyo ni kama wananatutumia kufanya biashara!?

Hivi mnaamini kuna msanii toka Tanzania amefanya vizuri mwaka huu kuliko Wizkid na Techno? Kama kuna wanaofanya vizuri kuliko awa mbona hatuwaoni wakipata mialiko ya kutumbuiza kama awa wanaijeria tunaochukua tuzo mbele yao? Mbona hatuoni muziki wetu ukipata rotation ya kutosha kwenye stations za radio na tv za nchi za wenzetu?

Hizi tuzo zinapeleka mbele muziki wetu au zinatudumaza? Maana tusije kudhani muziki wetu unakuwa sababu tunapata tuzo kirahisi kumbe zinatupumbaza!

Mimi binafsi naamini sana tuzo za Mama mtv na BET maana zinatoa atleast watu wanaoeleweka ila hizi tuzo zingine siziamni kabisa sijui kwa nini.

Naona sasa hivi mpaka kina Martin Kadinda nao wanapata tuzo za kudesign.

Okay ebu kama kuna mtu ana maoni tuweze kushare kuhusu huu utitiri wa tuzo.
Pole sana naona ile ya sound city aliyoshinda kiba imekuuma sana?? Mbona mondi kashinda sana na hamkutoa tathmini hzo??
Watanzania tu wanafiki sana,miaka miwili ilopita tulikua tukiomba tuwe na wasanii wengi wa kutuwakilisha kimataifa baada ya diamond kuwa peke yake,amekuja kiba anajitahidi anashinda tunzo mbalimbali lakini cha kushangaza kuanzia media,blogs na watanzania tumemsusa utadhania Ali kiba ni mkenya ndo kwanza tunaendesha kampeni za kumvunja moyo
Swali langu,Mlitaka diamond pekee ndiye ashinde hizo tunzo??
 
Back
Top Bottom