Ali Kiba arejea Dar na tuzo ya MTV, HamoRapa ajitokeza kumpokea airport

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
350
567
Msanii machachari anaekuja juu, Hamorapa leo alijitokeza uwanja wa ndege kumpokea Kiba akirejea toka kwenye ziara yake ya South Africa.


f7e134cf71000d86970af88e1465fe06.jpg
761c70ec888ca0c9717177a2943a49fb.jpg


===========
Video
 
Huyu harmo rapper mbona anapewa tension, hivyi kafanya nn ktk tasnia hii ya bongo fleva , yaani mdananda kishenzi
 
Back
Top Bottom