Habari Rafiki,
Umewahi kupanda usafiri wa uma kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine?
Kwa bahati nzuri ukakutana na mtu mkazoeana kweli halafu wakati wa kushuka mkapotezana na hukuweza kupata mawasiliano yake?
Uzi huu ni sehemu ya kumtafuta.
Post kisa chako na JF watatusaidia kuisambaza na...
Hello wakuu za siku, wiki ijayo kwenye siku kuu natamani sana nikatembelee mji wa Bagamoyo. Ni mara yangu ya kwanza hivyo basi mnisaidie nijue gharama zikoje za hotel, beach, vyakula etc
Habarini za Siku Nyingi Kidogo.
Nikumbana na hili janga la kupendwa na mke wa mtu yeye anadai hampendi mme wake tena.
Yupo tayari kuachana na mmewe tuoane. Wasiwasi wangu ni kwamba nitakuwa natengeneza vita na mwanaume Mwenzangu.
Naombeni ushauri wakubwa zangu mliokwisha pita huku.
Asanteni.
Habarini wakuu,
Leo nimekuja na tatizo jingine naona ni kubwa sana na linaweza kuniharibia mahusiano yangu. Nina mahusiano na binti mmoja ninampenda sana. Nina mpango wa kumuoa ila tatizo ni kwamba ana hali ya kukosa hamu ya tendo la ndoa.
Mara zote nilizowahi ku sex nae nikifunga goli moja...
Wakuu Hili ni Tatizo?
Nipo Na mpenzi wangu. Hajawahi hata siku moja Kuniomba mchezo Yaani hadi mimi nijisikie ndio niombe,.Nashindwa kumuelewa. Pia anaonekana hana hamu kabisa . Nifanyeje?
Habari za Leo wana JF ni muda mrefu umepita sijaandika hapa.
Katika harakati za maisha nimekuja kukutana na binti mrembo sana na ninampenda mno.
Changamoto niliyonayo ni kwamba wakati tunafanya tendo mara zote nashindwa kujua ni Sehemu ipi hasa inayomfanya ajisikie poa akishikwa.
Mara zote...
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote...
WHAT A HUSBAND NEEDS FROM A WIFE IS NEVER SEX.
By: B.I.C. Abeiku Okai.
Sex is an important element in marriage and until there is sexual intercourse between a husband and a wife, the marriage is not yet spiritually recognised. This shows how important sex is in marriage.
When you look at how...
Habari za leo wakuu.
Ningependa kufahamu usalama wa data zinazohifadhiwa kwenye Google account kwa watumiaji wa simu za Android. Hawa watu hawawezi kuzitumia vibaya kweli mfano kwa hawa watu wakubwa/viongozi na maarufu?
Habari.
Tigo wanaomba wateja wake radhi kwa tatizo la mtandao lililotokea jana.
Tuma message yenye neno BURE kwenda 15304.
utapata dk 10 sms bila kikomo na mb 10 za kutua leo tuu..
Changamkia fursa hii.
Za jioni wakuu,
Mda huu baada ya kutoka viwanjani kwenye Tsunami ya lowassa nilikua na mpenzi wangu mkali kweli sio utani ni mrembo balaa ana umbo zuri mno.
Sasa tukapitia sehemu Fulani tupooze makoo yetu baada ya kumshangilia sana Lowasa wakuu tumeingia tuu macho yote ni kwetu si mnajua...
Helow friends,
Sio mimi nimeagizwa kuwasilisha.
Mimi ni mwanaume katika pitapita za maisha nimekutana na dada mmoja tumependana sana dada mwenyewe ni mzuri kila idara.
Na ninampenda yeye pia ananipenda. Lililonifanya niombe ushauri ni kwamba kanizidi miaka 5. Nilimwambia kuhusu kumuoa...
Habarini,
Sina mwanamke nampenda sana juzi tuko katika chat whatsap sio kanitumia picha zake zilizokatazwa sheria mpya sasa sijui anajiaminije. Je huo ni upendo wa kweli? Ni kweli ananitumia mimi tu au na wengine pia? Sheria mpya itatubana.
Naombeni ushauri
Mimi ni msambazaji wa bidhaa kwenye supermarket mbalimbali nipo Arusha. Juzi katika kazi zangu nilipata mteja mpya ambaye ni mama mtu mzma mwenye supermarket yake.
Nilimpelekea mzigo baada ya hapo kanikaribisha nyumbani kwake weekend hii. Yeye hajaolewa ila ana watoto wawili binti na mvulana...
Habarini za leo, poleni na majukumu.
Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa nilikua nampa. Lakini sijapata chochote kwake, tuliwekeana kua tutasubiriana hadi ndoa. Yani sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.