Search results

  1. Webabu

    Gati la Marekani Gaza labebwa na upepo mkali.Dola Milioni 32 zimepotea bure.

    Gati linaloelea majini lililojengwa Gaza na Marekani kupitishia misaada kabla kufanya kazi yake limeshakumbwa na matatizo mara kadhaa na mwishowe limebomoka kutokana na upepo mkali. Habari zinazoendelea kutolewa ni kuwa dude lote limeanza kuzama na haitokuwa rahisi kuliokoa. Muda mfupi kabla...
  2. Webabu

    Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
  3. Webabu

    Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

    Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel...
  4. Webabu

    Gustavo Petro, Rais wa Colombia ashangaa kuona mataifa makubwa ya kidemokrasia yakishindwa kuizuia Israel kuua watu Gaza

    Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia. Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata jawabu kwa kusema,hayo yanayotokea ni kutokana na kuwa wamiliki wengi wa mabenki na taasisi za kifedha...
  5. Webabu

    Misri na Israel waanza kupigana Rafah. Askari wa Misri afa

    Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari kuna mazungumzo ya kupunguza hamasa za kivita huku kila upande ukisema unafanya uchunguzi kujua...
  6. Webabu

    Norway yasema kuitambua Palestina ni kutekeleza azimio la Oslo

    Norway ambayo ni moja ya nchi tatu zilizoamua kulitambua taifa la Palestina imesema uamuzi wake huo ni kuendana na makubaliano yaliyofikiwa nchini mwake mwaka 1993. Makubaliano hayo yaliyotiwa saini White house nchini Marekani yalifanyika mwak 1993 wakati wa uongozi wa Yasser Arrafat na Bill...
  7. Webabu

    Hamas wateka askari wapya wa Israel ndani ya Gaza.Mateka wa zamani baadhi wapatikana wakiwa wamekufa.

    Abu Ubaida,yule msemaji machachari wa Hamas ametoa video ikionesha askari kadhaa wa Israel waliotekwa nyara baada ya wenzao kufa na wengine kujeruhiwa. Kwa mujibu wa Abu Ubaida tukio hilo lilitokea ndani ya kambi ya Jabalia kaskazini ya jiji la Gaza ambayo kwa wiki kadhaa imekuwa kitovu cha vita...
  8. Webabu

    Sheikh asema bima zote ni haramu

    Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji. Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za mtume Muhammad rehma na amani zimshukie. Katika ufafanuzi huo,masheikh wamesema kama itatokea...
  9. Webabu

    Ukraine yahimiza kila nchi yenye Patriot iwasaidie kupambana na Urusi inayokaribia kuuteka mji wa Kharkiv

    Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo. Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama mnyama aliyekatwa viungo vyote na kubakishwa kichwa pekee. Katika hali ya kuchanganyikiwa nchi hiyo...
  10. Webabu

    Colombia kufungua ubalozi wake Palestina mjini Ramallah

    Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah. Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
  11. Webabu

    Ebrahim Raisi atakumbukwa kama kiongozi jasiri zaidi wa Iran aliyeikuza nchi yake kiteknolojia

    Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
  12. Webabu

    Helikopta iliyomuua Raisi isingeweza kupaa zaidi ya futi 10,000

    Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
  13. Webabu

    Spain yazuia meli ya silaha zinazokwenda Israel kutia nanga nchini mwake.

    Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel. Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26. Waziri wa mambo ya...
  14. Webabu

    Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

    Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo. Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja...
  15. Webabu

    Ilichofanya Israel mpaka wa Rafah, Misri ingeweza kufanya zamani sana tena bila lawama

    Hapo jana Misri imetoa tamko kuwa kuanzia sasa haitotoa ushirikiano tena na Israel katika kupitisha misaada mpaka wa Rafah. Nongwa hiyo ya Misri ni kwa vile ati Israel imejichukulia jukumu la kukikalia kituo hicho cha mpaka kibabe ambacho ndicho kikuu katika kuingiza misaada Gaza. Maelezo hayo...
  16. Webabu

    Sababu ya Israel kutokushinda vita ni kujipiga yenyewe kwa asilimia 40 kutokana na woga

    Huku vita kati ya Hamas na Israel vikikaribia kuvuka miezi 7 siri zaidi za udhaifu wa jeshi la Israel zinaendelea kufichuka. Pamoja na kusifiwa kwa ubora wa vifaa na ukubwa wa jeshi la Israel imeelezwa kuwa jeshi hilo limekuwa likijitia hasara kubwa kwa kuua askari wake na kuangusha droni zake...
  17. Webabu

    UAE yaitaka Israel ikome kuwahusisha na kile wanachokiita kuitawala Gaza baada ya vita

    Waziri mkuu wa falme za kiarabu,Abdullah bin Zayed amemshushua waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu kwa kauli yake aliyoitoa hivi karibu kwamba nchi ya UAE, Saudi Arabia na mataifa mengine ya kiarabu yatasaidia kuiendesha Gaza baada ya vita. Waziri huyo kwanza amemtaka Netanyahu kutambua...
  18. Webabu

    Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

    Mbinu za hali ya juu zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kupambana na askari wa Israel wanaoelekea kuivamia Rafah,zimeelezwa na wachambuzi wa kuvita kuwa wapiganji hao bado wamejipanga kuendelea na mapigano na hawajakata tamaa ya kupata ushindi japo wamezingirwa na wanapambana na jeshi lenye...
  19. Webabu

    Azimio la kuitambua Palestina lapita UN kwa kura 143. Kikwazo bado ni Marekani tu

    Uamuzi wa Hamas kulitetea taifa la Palestina unaendelea kuzaa matunda kwa mataifa mengi zaidi kuendelea kulitambua taifa hilo katika ngazi ya Umoja wa mataifa. Katika kura zilizopigwa jana kwenye baraza kuu la UN jumla ya kura 143 ziliunga mkono,Tisa tu ndizo zilizokataa na 25 wakaamua kutopiga...
  20. Webabu

    Haya ndiyo Hamas waliyokubali ili vita visimame.Na kama Israel itayakataa basi bora vita viendelee

    Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita. Walichokubali Hamas ni : 1 .Kuwepo usitishwaji...
Back
Top Bottom