Search results

  1. cheusimangala

    kulia ki-superstar

    eti hapa anafuta machozi kwa uchungu msibani
  2. cheusimangala

    Ajali ya aina yake iliyoniacha kinywa wazi kwa sekunde nyingi.

    Asalam aleykum. Mashosti ajali hii inayotuhusu kina mama imetokea hapa kwenye airport kubwa kuliko zote ulaya magharibi ambako niko transit kwa muda sasa nikisubiri boarding time kuelekea kwenye my last destination. Katika kupoteza muda bila kusinzia uwanjani hapa niliamua kutembea tembea...
  3. cheusimangala

    Nimeamua kula sahani moja na MAFREEMASONS.....

    Ndugu zangu,nimewajua freemasons muda kidogo hata kabla mtandao haujawa sehemu ya mawasiliano kwa watanzania.Mwanzoni nilikua nafahamu kwamba ili uwe freemason ni LAZIMA uwe TAJIRI MKUBWA na mtu mzito katika jamii.Nilijua kwamba Freemasons hawakufanyi tajiri lakini ni mtandao unaowafanya watu...
  4. cheusimangala

    Christina Shusho:Malkia wa injili aliyekamilika kila idara.

    Yaani huyu dada kwa kweli nampenda sana. Nikisema huyu malkia amekamilika kila idara namaanisha kwamba Shusho ni mzuri wa sura na umbo. Hakuna mwimbaji wa kike anayevaa mavazi ya bei ya gharama kama Shusho,pia hakuna muimbaji wa kike anayebadilisha mawigi ya aina mbalimbali kwenye video zake...
  5. cheusimangala

    Najihisi nina tatizo nisaidieni

    As salam aleykum wapendwa wangu. Natumai pasaka imekua yenye furaha kwenu. Wapendwa kwa asili mim ni mtu mwenye kupenda utani na mtu ambaye ni vigumu saaana kukasirika.Hakuna binadamu asiyekasirika lakini kwa kweli mimi Cheusie nikikasirika lazima hilo jambo litakuwa kubwa mara nyingi mim ni...
  6. cheusimangala

    tuonane paradiso

    Wasanii wengi Tanzania walipofariki nilisikitika lakini sikuwahi kulia machozi ila kifo cha Steven kimenitoa machozi. Inauma sana jamani. Pumzika kwa amani Kanumba the great.
  7. cheusimangala

    ORIGINAL imechakachuliwa.

    Hili neno ORIGINAL naona wabongo wameamua kulichakachua.Ninamaanisha kwamba,mara nyingi utasikia mtu anakwambia nenda duka fulani wale wanauza lace wig au brazillian hair original. Kusema ukweli mim naona kama wadada wengi wakibongo hawajui wanachokiongea hasa kwenye maswala ya vipodozi,nywele...
  8. cheusimangala

    Kwa mapishi najiamini

    Bado najifunza kupika keki hasa upambaji. Hii ni keki yangu ya kwanza kabisa niliyopika na kuipamba mwenyewe. Sasa hivi najua kupika flavour mbalimbali na kupamba zaidi ya hapa. Sina mpango wa kufanya biashara ya keki hivyo nikizipika nagawa kwa rafiki zangu wenye birthday.
  9. cheusimangala

    vice versa

    it all started in MMU
  10. cheusimangala

    wanaJF niliokutana nao.....wamenisababishia balaa

    Mim na shemeji yeni tulienda mahala kupata dinner,wkt tunasubiri tuletewe chakula tukiwa tumekaa kwenye viti shemeji yenu akaniaga kuwa anakwenda kujisaidia,alipoondoka nikatoa laptop yangu nikaanza kusurf JF nikiwa nimesign in. Meza yetu ilikua karibu na mlango wa kuingilia ktk hotel hiyo na...
  11. cheusimangala

    Kwa mapishi najimini

    Wakiitwa wanaojua kukarangiza lazima na mie niende. Kwa mambo ya jikoni nimebarikiwa. ukitaka vya kihindi utadhani nimezaliwa bombay,ukija vya kichina na Thailand achilia mbali vya Mexico na vya kizungu. Sasa ukila ugali na dagaa nilizopika mie lazima ujingate vidole. I am the kitchen queen.
  12. cheusimangala

    naombeni msaada

    wapendwa wa jukwaa hili nawatakia HERI YA MWAKA MPYA. Kuna kitu nataka kudowmload ktk laptop yangu lakini naambiwa hadi niwe na windows 7,vista,or xpl. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,mim sina utaalamu sana na haya mambo,hivyo hata sijui kama laptop yangu inayo au haina,na kama haina nifanyaje...
  13. cheusimangala

    Tuwe makini- mafataki ( pedofiles) wengi tunao majumbani mwetu.

    Nawatakieni nyote heri ya mwaka mpya.Mungu akaufanye mwaka huu kuwa mwaka wenu wa kuvuna yote mnayomuomba. Nikiwa kama mzazi mtarajiwa,nimeona sio mbaya sisi wazazi tukikumbushana au kufunguana macho ktk mambo mbalimbali yatakayozidisha usalama wa watoto wetu. Ni kawaida sana sisi watanzania...
  14. cheusimangala

    picha yangu ktk bata la xmas

    hapa nikakutana na fatherxmas(huyu wa jf) akawa ananipima aone kama mzigo unalingana na huu wa kwenye avatar yangu.
  15. cheusimangala

    computer yangu imekua very slow ghafla naombeni msaada niifanyaje

    Wapendwa nawasalimi Amani ya Mungu iwe juu yenu. Naomben mnisaidie kama kuna anayejua juu ya hili, computer yangu sijui kwa nin imekua slow sana.Natumia browser ya fire fox. Natanguliza shukrani.
  16. cheusimangala

    Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

    Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu. Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu. Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu...
  17. cheusimangala

    naombeni mawazo yenu

    Amani ya Mungu iwe juu yenu. nina rafiki yangu aliniomba ushauri nikaona ni vyema niwashirikishe tushirikiane mawazo. Huyu rafiki yangu (msichana) ana urafiki wa kawaida na wakaka wawili,hao wakaka ni marafiki. rafiki yangu alianza kufahamiana na kaka A,kaka A akamtambulisha kwa kaka...
  18. cheusimangala

    mdosi

    KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO: (1) Mfa maji?… tampa life jacket. (2) Mwenda pole?…tachelewa fika. (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani. (4) Usilolijua?…uliza google.com. (5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako. (6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya...
  19. cheusimangala

    You can't believe this...OMG

    naomba msaada kwa wadau na kwako zeze pia, mimi ni mwanamke ,niliye katika ndoa kwa miaka 6 sasa, na nimebahatika kupata watoto 2 tayari. ila nina tatizo kubwa saana kwenye ndoa yangu, kutokana na kwamba mume wangu amekuwa limbukeni saana wa ,wanawake wa nje wenye makalio makubwa kiasi kwamba...
Back
Top Bottom