Search results

  1. dorin

    Ambao hatujalipwa mshahara zaidi ya miezi miwwili tukutane hapa

    Ni mwezi wa tatu unakatika Mshahara tunausikia kwenye bomba, Tuna hali mbaya sana, kwa mwenendo huu sijui tutafikaje? Hivi kuna kipengele chochote kwenye sheria za kazi kinaongelea kucheleweshwa Mishahara?
  2. dorin

    Rest In Peace, Dad

    It's like being in hell today I can't imagine my life without you dad
  3. dorin

    MY JF MEMBER OF THE YEAR 2018

    Pascal Mayalla Makofi tafadhali Mtakaosema nsjitongozesha ni poa tu kwasababu ni haki yangu pia Mshana Jr worth mention @mzeemwanakijiji sijui kimemsibu nini kwasasa kuna mijadala mizito kuzidi hasira za kumksribisha Lowasa Chadema lakini mzee kimya sana Nayamisi mapweinti ya huyu mzee...
  4. dorin

    Kuna Madhara ya kunywa flygiln na Pombe?

    Naombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
  5. dorin

    Kupiga Picha unavuta shisha

    Wandugu, Kuna kosa gani kama nikipiga picha navuta shisha?
  6. dorin

    Kinadada wa TZ Jamani huyu mwenzetu anatutia Aibu!!!

    ESTO MUSIC TZ: AIBU...MPIGA PICHA ZA UT*UPU MAARUFU TZ FROLA LYMO KATOA ZAWADI YA PICHA HIZI SIKU YA WAPENDANAO...!!!
  7. dorin

    Hang over

    Jamani jana nimekunywa biere mpaka saa nane asubuhi. nimeingia ofisini leo saa mbili asubuhi kichwa kinaniuma mpaka saa hii. Hangover huwa inaisha baada ya muda gani?
  8. dorin

    New Poll

    Hivi kama katiba ingekuwa inaruhusu JK kugombea misimu mitatu, Angesimama 2015 angechaguliwa? Just say no or Yes. Halafu FF naomba usiseme Yes ya kinafiki.
  9. dorin

    Usafiri wa kwenda Loliondo

    Jamani nimepanga safari ya kutoka Dar kwenda Loliondo kwenye shughuli zangu Kikazi. Kama kuna m2 anataka Kwenda kwa mzee Ambikile mwaisapila namkaribisha kwa Lift. but kamchango ka 100,000 ka mafuta ni highly apreciated. Naondoka Ijumaa Tarehe 13. asubuhi. siku ya kurudi bado sijapanga...
  10. dorin

    Kwas sifa hizi mwanaume ninampa nafasi ya kumfikiria.

    Anapo nitongoza mwanaume ambaye hanywi pombe, havuti sigara, wala kilevi chochote basi mimi hoi.
  11. dorin

    40s are now 30s

    This thread is dedicated to women in their 30s or 40s especially those that are still single like me lol. Ladies just because you are in yr 30's/40's it does nt mean your life is finished. Keep your head up gal and put your gear on. Most of us are professionals, beautiful and well...
  12. dorin

    Baby Do you like some Burger?

    Wizi mtupu!!!
  13. dorin

    Oral sex can cause throat cancer

    'This Article from the respected New Scientist magazine and directed to ALL EVERYONE.' People who have had more than five oral-sex partners in their lifetime are 250% more likely to have throat cancer than those who do not have oral sex, a new study suggests. The researchers believe this is...
  14. dorin

    Ajali ya ndege?

    ndege moja ya abiria imepata ajali katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu. Mwenye Habari zaidi atujuze
  15. dorin

    NBC: This is not fair!

    Wakuu! Nilibahatika kufungua Account Na NBC Hapa Dar. Tangu 2002. Mpaka sasa naitumia hii account. Hivi majuzi nimeingia Mkoani nilikua na shida ya pesa ambazo singeweza kuzitoa kwenye ATM ikabidi niingie Ndani Kwa teller!! Huku nikiwa na statement niliyo itoa kwenye ATM kama Kidhibitisho kuwa...
  16. dorin

    Natafuta mchumba

    Hey wanajamii. Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28. Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania. mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu. ninaishi sinza Madukani. Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha. who ever is ready for a...
Back
Top Bottom