Usafiri wa kwenda Loliondo

dorin

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
267
285
Jamani nimepanga safari ya kutoka Dar kwenda Loliondo kwenye shughuli zangu Kikazi.

Kama kuna m2 anataka Kwenda kwa mzee Ambikile mwaisapila namkaribisha kwa Lift. but kamchango ka 100,000 ka mafuta ni highly apreciated.

Naondoka Ijumaa Tarehe 13. asubuhi. siku ya kurudi bado sijapanga.

wote mnakaribishwa.
 
Huu wizi wa kimacho macho
 
Kweli bendera hufuata upepo now hakuna anaekwenda samunge...Hongera Babu kwa ule ubunifu umepga pesa ya kutosha.Kweli wajinga ndo waliwao.
 
Nikipandia Arusha utachaji shiing' ngapi na utapita saa ngapi?
Nataka nikachukue dokomentary niwaletee watu hapa wajue kuwa babu bado ana nguvu!
 
hizo shughuli utazifanya kwa babu? maana yeye yuko Samunge na kule ni mbali sana kutoka Loliondo. sasa waenda wapi, Loliondo, Samunge au Wasso
 
Back
Top Bottom