Search results

  1. BOB LUSE

    Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Chawa mkubwa wewe, Nyerere ndiye aliasisi tume isiyo huru,matokeo ya Rais yasipingwe mahakamani. Chama chenye kuongozwa Kwa kurithiwa na Watoto wa waasisi. Nyerere alitaka Mgombea binafsi,nani anayezuia miaka yote hiyo?
  2. BOB LUSE

    Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Asili ya Adamu na Hawa au ipi? Bustani aliilima mmoja?
  3. BOB LUSE

    Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Wazo zuri,akipewa mtaji asaidie familia,afocus kwenye Biashara seriously.sio Biashara iendelee kumfilisi mtoa mtaji
  4. BOB LUSE

    Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Ndio Mnaachwa na hao Watoto! Mnabakia kula Kwa macho hizo Hela,mpaka wanaume wengine wanakufa Kwa depression kukosa Msaada,,Mke anataka Hela, Watoto,mama yako Mzazi,Baba,Dada zako,wadogo zako!
  5. BOB LUSE

    Elimu ya Tanzania siyo bure, CCM someni alama za Nyakati

    Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa. Ni jambo la Hatari kufikiria mtu aliyekaa kimyaa kuwa ni Mjinga. Watu wanaonufaika pakubwa na chama na Serikali ni familia...
  6. BOB LUSE

    Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  7. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Biashara, Uchumi na Ujasiriamali Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pa kubwa sana Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa...
  8. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Maisha yenyewe ni Mitihani mkuu, ukitaka kuishi huna budi kufanya mitihani, mingine utafaulu, mingine utakwama.
  9. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kujenga Kwa sisi waswahili ni basic, ukijenga Anza Sasa kuwekeza, usiweke mzigo benki idle.
  10. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Hakuna aliyefanikiwa bila kujaribu, kushindwa, kuchekwa, kukatishwa tamaa, lazima uvishinde hivyo vipengele.
  11. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kweli kabisa, wengi wanakosa Elimu Sahihi na hadithi nyingi za kushindwa na kupoteza Hela. Badala ya kuwa majasiri na kuwekeza.
  12. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Stock exchange ziko kampuni ambazo Toka ianzishwe hisa zake zinapaa kama TBL,TCC. Kuna security/ Treasury bond, jishughulishe kupata Elimu hizo, utakuja kunishukuru. Mwenyewe niliamini hivyo, nimeona hasara niliyopata, ndio Maana nafundisha watu hapa buree.
  13. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Weka CRDB kwenye fixed deposit, sio saving au current account, ni kukosa Maarifa.
  14. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Ndio Maana kwenye Biashara una asses risk, sio Kila Biashara unafanya, zipo unazofanya mtaji ukiwa salama, Mfano una kiwanja, umeanza na chumba Cha biashara. Huiapoteza kiwanja, mradi ukopotea.
  15. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Ndio Maana Watanzania wengi wenye Elimu ndogo ni risk taker, wanafanya Kila Ina ya Biashara, hawana muda wa kujilinda Kwa kuweka kitita benki kisichozalisha, matokeo Wana maisha mazuri na free stress, Kuliko wasomi, wanaosubiri pensheni waongezee ndio wawekeze, uzoefu wa Biashara zero, matokeo...
  16. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Hukupata Washauri wazuri wakati wa kununua hisa, ulipaswa ununue Treasury bond, thamani na Hela yako haipotei na inapatikana unapoitaka. Ndio Maana uliona hisa za voda hazikununuliwa zote, watu walijua hawana kipya. Unaona akina Rostam anauza hisa, elewa hakuna faida huko.
Back
Top Bottom