BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,619
- 2,999
Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa.
Ni jambo la Hatari kufikiria mtu aliyekaa kimyaa kuwa ni Mjinga. Watu wanaonufaika pakubwa na chama na Serikali ni familia za watu walio rithishwa vyeo,jipenyesha kushika madaraka hata Kwa kutoa rushwa na hila mbalimbali.
Unakataa vipi ushindani katika kupata Viongozi?
1) Kwanini mgombea binafsi akataliwe,wote mnataka tugombee uongozi Kwa kutoa rushwa kwenye mavyama yenu?
2) kwanini Mpinge Tume iliyo neutral? Kwanini mnapenda uovu huku mmejaa makanisani na misikitini?
3) Kwanini Polisi na vyombo vya Usalama viwabebe? Hivi nyie Polisi /afisa Usalama,pia,Elimu mlizopewa mmeziacha darasani? Kwanini mlinde kikundi Cha watu wachache wakati ndugu zenu wapo kwenye lindi la umaskini?
Maswahi ya kupata Viongozi waadilifu ni Kwa wananchi sio Vyama vya UPINZANI, wapinzani nao ni wasaka fulsa ambao wako tayari kuangalia maslahi yao zaidi Kuliko wananchi ndio Maana wamekuwa wakishiriki chaguzi ambazo wanajua hawawezi kushinda, absurd! Wanajari ruzuku na Hela za uchaguzi.
Mwenye akili timamu hawezi kugombea uongozi katika Mazingira haya.pia Iko saa CCM watatafuta pa kujificha hawatapata Kwa uovu huu wa kushindwa kutenda na kusimamia Haki.
God bless Tanzania
1