So we now all know that David Cameron together with his group of fellow Tories have won the election by an unexpected majority. At this time, he is having an audience with Her Majesty the Queen.
But the most interesting thing for me is the resignations of three opposition leaders. They have...
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa 'No Mediocre' wa T.I na nikajiuliza hivi ule wimbo ungetafsiriwa kwa Kiswahili ungechezwa radioni?
See this part of the lyrics:
All I ---- is bad bitches
I dont want no mediocre
Right hand in the air
I solemnly swear
I never ---- a bitch if she dont do her hair...
Kulikuwa na vijana kutoka nchi tatu wenye interesting stories from their coutries, mmoja kutoka China akasema, huko China alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea mkono wa bandia sasa ni mpiganaji wa karate. Kijana wa Kijerumani akasema huko kwao alizaliwa msichana hana miguu yote akawekewa ya...
Wakuu
Leo nilikuwa naangalia mjadala kuhusu hii mada katika Russian TV. Hoja iliyopo ni kuwa nchi za magharibi ni zipi? Je huu 'umagharibi' unatokana na sehemu nchi zilipo kijiografia au ni ideology na mifumo ya nchi husika?
Hoja zikatolewa kuwa umagharibi huu ni mifumo ya nchi na kuwa kuna...
Hapa Kiongozi wa nchi anaonyeshwa wananchi wake wakifanyishwa kazi katika mazingira magumu. Hebu tazama hapo kinamama hao wanabangua korosho bila ya kuwa nyenzo za kazi kwa usalama wao na kiongozi anafurahia tu.
Sasa kama kiongozi alipita na hakuliona hili unategemea hawa wenye kiwanda...
Hi Guys,
Find out the true reality on the Ivorian crisis. Thabo Mbeki knows very well about the ins- and-outs of this conflict, as he served as one of the mediators and travelled to the Ivory on many occasions.
Many african people do not really dig deep to find out underlying issues of...
A case of modern day slavery in the suburbs
By Chris Summers
BBC News
Mrs Khan
A pensioner has been convicted of trafficking and exploiting an African woman she used as a "slave". While it was the first prosecution of its kind, could there be many more cases behind the UK's front...
Nadhani siku hiszi vijana wetu wanajitahidisana katika tasnia ya filamu tena wanakuwa very creative lakini wasiwasi wangu kwa filamu inayokuja kutoka kwa Vicent Kigosi aka Ray haitaspark upya watu wa upande huu wa dini manake nakumbuka sakata la filamu ya TALAKA TATU.
Nasikiliza radio sasa eti Eton John na partner wake wameadopt mtoto aliyezaliwa siku ya xmas na mama mmoja huko California.
Just waiting to see and hear the kind of raising that child will get. Aisee, Elton John mi mamaa sasa
Ni kwa taarifa tu natambua kuwa leo MUHAS wanafanya mahafali yao ya nne na JK akiwa mgeni rasmi. I will not be surprised if they will 'offer' him another the so called 'honourable doctorate' lakini najaribu kuangalia napata taabu kwa Muhumbili ni kwa nyanja ipi labda afya ya jamii (Public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.