RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Kulikuwa na vijana kutoka nchi tatu wenye interesting stories from their coutries, mmoja kutoka China akasema, huko China alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea mkono wa bandia sasa ni mpiganaji wa karate. Kijana wa Kijerumani akasema huko kwao alizaliwa msichana hana miguu yote akawekewa ya bandia na sasa ni mkimbiaji wa olimpic na mpaka sasa ana medali 3 za dhahabu. Mtanzania akacheka saaaana na kusema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu,sisi hapo bagamoyo alizaliwa kijana hana ubongo, tukamwekea Nazi na sasa ni RAISI!!